Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.

Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umeua!
 
Sasa wakitangaza kuwa watakuta mathalani Mnazimmoja si watakuwa polisi na mgambo na UVCCM wametanda hapo na vifaru na AK45 tayari.
Taharir vilienda hadi vifaru vya jeshi na watu wakavizingira

Nyie mnataka maandamano yasiyo na resistance mtatoa mataandamania wapi?
 
Wanakwenda kudharirika,maana hakuna mtu atakayejitokeza,maandamano yanataja tu tarehe,hakuna pahala pa kukutania kuanzia mda gani
It so
Kwan ktk mikutano yake lissu alitaja mahakama ya kadhi na sheria za kiislam?,,au ndo kusaliti Iman za wapemba kisa unafiki wa siasa,,,unawaongopea wa zanzibar,,sidhan Kama vyombo husika hasa vya nje vitachukua hatua za kuikomboa Zanzibar ili Hali wanasema waislam wote Ni magaidi,,
her lawama kuliko fedheha
wazanzibari tumechoka kuzika watu wet
maelfu ya vijana wanataka silaha tutafutane
maandamano ya mikono mitupu sasa basi
wallah wakileta container moja tu la mitutu watakimbia wote
 
Dada endelea tu kupika
mnaenda kupambaba na watu wenye silaha za kivita hio ni suicide mission
afadhali mngefanya mpango wa silaha

wazanzibari hatutaki kuandamana mikono mitupu tunataka silaha tupambane na majeshi ya Burundi
 
mnaenda kupambaba na watu wenye silaha za kivita hio ni suicide mission
afadhali mngefanya mpango wa silaha

wazanzibari hatutaki kuandamana mikono mitupu tunataka silaha tupambane na majeshi ya Burundi
Brother una point kubwa Sana sema sijui Kama viongozi huu ujumbe unawafikia kweli kabisa
 
Harakati za kudai haki huwa hazitaki watu wengi, na hazitaki watu waoga wa kufa kama wewe! Wewe lala nyumbani na mkeo maana kuwepo kwenye payroll ya serikali kumekupofusha macho,sisi tunatoka kwenda barabarani kupiga ujinga wa watawala kama kuzima Internet na mauwaji ya hovyo kwa kisingizio cha uchaguzi.

Hakika hujui maslahi halisi unayokwenda kuyapigania. Utajua mbele ya safari!
 
Brother una point kubwa Sana sema sijui Kama viongozi huu ujumbe unawafikia kweli kabisa
Kuna maelfu ya vijana zanzibar kilio Chao ni 'tupeni silaha tupambane tumechoka kuuawa'

hata Bara Kuna maelfu ya vijana wapo tayari kushika mtutu sio kuandamana mikono mitupu
 
Watanzania tuna mikwara sijawahi ona😀😀. Mtu real id kaficha, jinsia kaficha ila anataka kutuaminisha kuwa yuko tayari kwa lolote! Si mngeanza hata kwa kutumia verified IDs ili siku yenyewe tukiwaona tuwatambue au msipotokea tuwakumbushe kwamba mliahidi kuwa front line ila hatuwaoni.. Serious kwangu Sexless na Simba zee 33 mnachokifanya hapa ni utoto
Kesho utaniona usijali. Nitakuwa na bendera 2 ya ACT na Chadema. Halafu nitakuwa na dula la lita 5 lenye petroli pamoja na kiberiti mfukoni. Kwahiyo utaniona tu
 
Wale raia wa belarusi wanaondamana kumtaka rais wao aondoke madarakani kama wangekaa waanze kuwaza hayo wasingefika hatua waliyofikia kwa sababu, maandamano hupata uungwaji mkono mara baada ya hayo maandamano kulipuka na kuenea lakini hivi hivi sahau.Raia wakichoka wataamka wenyewe hata hawataitaji viongozi wa kisiasa wawahamasishe.

Upinzani wa Belaurusi unaungwa mkono wa EU moja kwa moja, chadema, tundu, Zito Kabwe &Co. wanaungwa mkono na nani? Siajabu hata tu familia zao haziko nao pamoja, ...
 
Yaani lazima niandamane nife kishujaa nikitetea haki yangu, kuliko kufa nimechutama kwa kupokwa haki yangu.

Mifano yako ya Kenya wala haisadifu kilichofanyika Tanzania. Huyu mhutu huyu lazima tumuondoe kwa aibu.
Usitushawishi sisi tukaandamane kwa ajili yako, andamana wewe mwenyewe uliyekuwa unagombea maana ndie uliyedhulumiwa. Sasa mimi niandamane kwani nimedhulumiwa nini? Usitake tukusaidie kukamilisha ndoto zako, nasi tunazo za kwetu nahitaji kuzikamilisha. Pambaneni kivyenu.
 
Siro usicheze na maandamano haya. Utaishia ICC, utaiacha familia yako.
Makauli ya hivo ndo yanawaponza ,nakuambia kabisa Amstadam kampoteza Lissu mapema na huko unaposema utashangaa rangi ya Kijani watatunga sheria ya kujitoa mnazidi kujimaliza sikio halizidi kichwa Nyerere hakuwa mropokaji ndio mana hatukumwaga damu ni busara tu inatumika wangeilalamikia Tume kwa ushahidi kama wanao ili wakati mwingine yasijirudie mfano,Katika uchaguzi wa Mwaka huu ukipewa karatasi inajitoa kwa Kuacha kama alama ya msumeno kama zile za nje zilikuwa hivyo basi wanaweza kuishawishi tume .

Uchaguzi huu karatasj ikichanwa unaandikwa namba yako ya Kitambulisho inabaki pale kama Mbunge asiporidhika kwanini asiombe karatasi iliyokuwa na namba za wapiga kura akajumlisha kupata hesabu kamili then akajumlisha na zilizopigwa kujua kura zilipigwa sasa kusema umeibiwa wakati ushahidi wa namba bado upo na hujachukua hatua mapema tunapata mashaka maana sio mara ya kwa Vyama hivi viwili kupinga kila kitu ni tatizo hilo unadhani wananchi wataamini vipi.!

Zanzibar hasa Pemba ni watu wenye asili ya Asia lengo lao kuu ni kuuvunja muungo ila Usultani urudi na utarudi pale ambapo misaada mingi ya Zanzibar itatoka nchi za Uarabuni ndipo Mahakama ya Kadhi itakapoanza,Unguja haina hayo mambo ya fujo ukitaka kujua angalia wanaopiga kelele sio Wabantu halisi ni mashombeshombe Zanzibar ni kisiwa cha Amani japo kwenye watu wengi hakukosekani wabaya.

Demokrasia sio tu pale wabunge wa Upinzani wanapochaguliwa .

Haya sasa ingieni barabarani mwenzenu anapeleka familia Kenya ,Seif familia ipo nje yule mwingine familia ipo Ubelgiji.View attachment 1617144
FB_IMG_1604225066963.jpg
 
Umesema Libya kumbuka hii Tanzania na sijaona wakuandamana kabisa.

Hivi yale maandamano ya Mange yalifikia wapi?
Mm na wapenzi, wafurukutwa mashabiki na wanachama wapenzi wa Chadema na ACT tutaandamana.
 
wangeilalamikia Tume kwa ushahidi kama wanao ili wakati mwingine yasijirudie mfano,Katika uchaguzi wa Mwaka huu ukipewa karatasi inajitoa kwa Kuacha kama alama ya msumeno kama zile za nje zilikuwa hivyo basi wanaweza kuishawishi tume .
Yaani wewe unabahati Sana. Lilitaka kunitoka kubwa lkn nikakumbuka kuna ban.

Haki hapaswi kutolewa kama hisani. Kwamba eti tuishawishi tume. Eboo!
 
Wale raia wa belarusi wanaondamana kumtaka rais wao aondoke madarakani kama wangekaa waanze kuwaza hayo wasingefika hatua waliyofikia kwa sababu, maandamano hupata uungwaji mkono mara baada ya hayo maandamano kulipuka na kuenea lakini hivi hivi sahau.Raia wakichoka wataamka wenyewe hata hawataitaji viongozi wa kisiasa wawahamasishe.
Wananchi huko mitaani wameyapokea vp matokeo ya huu uchaguzi?
 
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.

Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.

  1. Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
  2. Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
  3. Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
  4. Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
  5. Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
  6. Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
  7. Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
  8. Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
  9. Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
  10. Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
  11. Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
  12. Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
  13. Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.
Sadly hamna hata moja hapo ambalo chadema wamelizingatia kwenye maandamano yao, na mpaka sasa ukweli ni kwamba maandamano ni kati ya chadema vs raia na sio chadema vs ccm
 
Back
Top Bottom