mayounger
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 693
- 670
Safi sana, hahahahah 😂Karibuni..View attachment 1616870
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana, hahahahah 😂Karibuni..View attachment 1616870
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umeua!Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.
Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
Taharir vilienda hadi vifaru vya jeshi na watu wakavizingiraSasa wakitangaza kuwa watakuta mathalani Mnazimmoja si watakuwa polisi na mgambo na UVCCM wametanda hapo na vifaru na AK45 tayari.
Dada endelea tu kupikaMm kwa uchungu nilio nao naona muda na masaa yanachelewa.
It soWanakwenda kudharirika,maana hakuna mtu atakayejitokeza,maandamano yanataja tu tarehe,hakuna pahala pa kukutania kuanzia mda gani
her lawama kuliko fedhehaKwan ktk mikutano yake lissu alitaja mahakama ya kadhi na sheria za kiislam?,,au ndo kusaliti Iman za wapemba kisa unafiki wa siasa,,,unawaongopea wa zanzibar,,sidhan Kama vyombo husika hasa vya nje vitachukua hatua za kuikomboa Zanzibar ili Hali wanasema waislam wote Ni magaidi,,
mnaenda kupambaba na watu wenye silaha za kivita hio ni suicide missionDada endelea tu kupika
Brother una point kubwa Sana sema sijui Kama viongozi huu ujumbe unawafikia kweli kabisamnaenda kupambaba na watu wenye silaha za kivita hio ni suicide mission
afadhali mngefanya mpango wa silaha
wazanzibari hatutaki kuandamana mikono mitupu tunataka silaha tupambane na majeshi ya Burundi
Harakati za kudai haki huwa hazitaki watu wengi, na hazitaki watu waoga wa kufa kama wewe! Wewe lala nyumbani na mkeo maana kuwepo kwenye payroll ya serikali kumekupofusha macho,sisi tunatoka kwenda barabarani kupiga ujinga wa watawala kama kuzima Internet na mauwaji ya hovyo kwa kisingizio cha uchaguzi.
Kuna maelfu ya vijana zanzibar kilio Chao ni 'tupeni silaha tupambane tumechoka kuuawa'Brother una point kubwa Sana sema sijui Kama viongozi huu ujumbe unawafikia kweli kabisa
Kesho utaniona usijali. Nitakuwa na bendera 2 ya ACT na Chadema. Halafu nitakuwa na dula la lita 5 lenye petroli pamoja na kiberiti mfukoni. Kwahiyo utaniona tuWatanzania tuna mikwara sijawahi ona😀😀. Mtu real id kaficha, jinsia kaficha ila anataka kutuaminisha kuwa yuko tayari kwa lolote! Si mngeanza hata kwa kutumia verified IDs ili siku yenyewe tukiwaona tuwatambue au msipotokea tuwakumbushe kwamba mliahidi kuwa front line ila hatuwaoni.. Serious kwangu Sexless na Simba zee 33 mnachokifanya hapa ni utoto
Watanzania mana yake "wewe tu?"Mimi nimepigia kura nafaa kuwa Rais wewe nani labda?
Wale raia wa belarusi wanaondamana kumtaka rais wao aondoke madarakani kama wangekaa waanze kuwaza hayo wasingefika hatua waliyofikia kwa sababu, maandamano hupata uungwaji mkono mara baada ya hayo maandamano kulipuka na kuenea lakini hivi hivi sahau.Raia wakichoka wataamka wenyewe hata hawataitaji viongozi wa kisiasa wawahamasishe.
Usitushawishi sisi tukaandamane kwa ajili yako, andamana wewe mwenyewe uliyekuwa unagombea maana ndie uliyedhulumiwa. Sasa mimi niandamane kwani nimedhulumiwa nini? Usitake tukusaidie kukamilisha ndoto zako, nasi tunazo za kwetu nahitaji kuzikamilisha. Pambaneni kivyenu.Yaani lazima niandamane nife kishujaa nikitetea haki yangu, kuliko kufa nimechutama kwa kupokwa haki yangu.
Mifano yako ya Kenya wala haisadifu kilichofanyika Tanzania. Huyu mhutu huyu lazima tumuondoe kwa aibu.
Makauli ya hivo ndo yanawaponza ,nakuambia kabisa Amstadam kampoteza Lissu mapema na huko unaposema utashangaa rangi ya Kijani watatunga sheria ya kujitoa mnazidi kujimaliza sikio halizidi kichwa Nyerere hakuwa mropokaji ndio mana hatukumwaga damu ni busara tu inatumika wangeilalamikia Tume kwa ushahidi kama wanao ili wakati mwingine yasijirudie mfano,Katika uchaguzi wa Mwaka huu ukipewa karatasi inajitoa kwa Kuacha kama alama ya msumeno kama zile za nje zilikuwa hivyo basi wanaweza kuishawishi tume .Siro usicheze na maandamano haya. Utaishia ICC, utaiacha familia yako.
Mm na wapenzi, wafurukutwa mashabiki na wanachama wapenzi wa Chadema na ACT tutaandamana.Umesema Libya kumbuka hii Tanzania na sijaona wakuandamana kabisa.
Hivi yale maandamano ya Mange yalifikia wapi?
Yaani wewe unabahati Sana. Lilitaka kunitoka kubwa lkn nikakumbuka kuna ban.wangeilalamikia Tume kwa ushahidi kama wanao ili wakati mwingine yasijirudie mfano,Katika uchaguzi wa Mwaka huu ukipewa karatasi inajitoa kwa Kuacha kama alama ya msumeno kama zile za nje zilikuwa hivyo basi wanaweza kuishawishi tume .
Wananchi huko mitaani wameyapokea vp matokeo ya huu uchaguzi?Wale raia wa belarusi wanaondamana kumtaka rais wao aondoke madarakani kama wangekaa waanze kuwaza hayo wasingefika hatua waliyofikia kwa sababu, maandamano hupata uungwaji mkono mara baada ya hayo maandamano kulipuka na kuenea lakini hivi hivi sahau.Raia wakichoka wataamka wenyewe hata hawataitaji viongozi wa kisiasa wawahamasishe.
Sadly hamna hata moja hapo ambalo chadema wamelizingatia kwenye maandamano yao, na mpaka sasa ukweli ni kwamba maandamano ni kati ya chadema vs raia na sio chadema vs ccmKuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.
Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.
- Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
- Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
- Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
- Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
- Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
- Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
- Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
- Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
- Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
- Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
- Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
- Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
- Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.