Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.
Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.