Kutapatapa kwa Nyalandu kumsafisha Samia kumempeleka kwenye ‘cult’ itakayomchafua zaidi

Kutapatapa kwa Nyalandu kumsafisha Samia kumempeleka kwenye ‘cult’ itakayomchafua zaidi

Club Mate

Member
Joined
Aug 1, 2025
Posts
29
Reaction score
125
Wakuu, kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na stori moja ya ajabu sana…

Tunakumbuka wote jinsi kina Nyalandu, Kombo na Kabudi walivyokuwa wakisafiri duniani kujisafisha dhidi ya ile damu waliyonayo mkononi serikali batili. Lakini kumbe, kwenye kutapatapa kwake, Nyalandu amejikuta akiingia mkenge na kushirikiana na ‘cult’ inayoitwa ALLATRA ambayo inaweza kumchafua Samia zaidi.

Kwa wasiojua, hii ALLATRA ni kundi ambalo wataalamu wa usalama na mashirika ya kijasusi duniani wanaliita ni ‘cult’ yenye itikadi kali juu ya mwisho wa dunia (apocalyptic) lililoanzia huko Ukraine. Hawa jamaa wanatumia janja wanayoiita ‘Spiritual Diplomacy’. Watafiti wa mambo ya kiusalama wanasema hii ni mbinu yao tu ya kutafuta ‘mainstream validation’ kwa kujipendekeza kwa wanasiasa wazito ili wakwepe lebo ya kuwa wao ni kundi la hatari au vibaraka wa Urusi. Wakati kundi hilo liimepigwa marufuku Russia na Ukraine yenyewe kulifungulia mashtaka na kuvamia maeneo yao tofauti.

Hapa ndipo walipomnasa Nyalandu kwenye hii desperateness yake. Walimpa shavu la kuwa mzungumzaji mkuu kwenye kongamano lao kule U.S. Capitol Complex mapema mwaka huu wa 2026. Huko alifikia hatua ya kutoa mpaka salamu kwa niaba ya Mama. Kwa kifupi, ALLATRA wamemtumia Nyalandu kufanya harakati zao zionekane kama kazi halali za kibinadamu.

View: https://youtu.be/Cac222BhUOs

Wakati Nyalandu anatulisha matango pori akiipamba hii ishu kama "misheni takatifu ya kulinda watoto," kumbe wachunguzi wa kujitegemea na wataalamu wa 'counter-intelligence' wanatoa onyo zito. Wanasema huu ushirika wao wa kutumia vigogo ni gia tu ya kuficha madudu yao—kusambaza propaganda zao, upotoshaji wa mambo ya tabianchi, na kufanya operesheni za kijasusi mtandaoni.

Kama hiyo haitoshi wakuu, hebu tazameni jinsi ALLATRA wanavyomtumia Nyalandu kwenye kampeni yao chafu kummaliza adui yao, Jakub Jahl.

Huyu Jahl ni mwana-YouTuber na mwanaharakati kutoka Jamhuri ya Czech anayepambana sana kufichua madhehebu ya hatari. Sasa, vyombo vya habari vya ALLATRA vimemtungia tuhuma nzito za uongo kuwa ananyanyasa watoto yatima kule Moshi. Kwenye ile harakati yake ya kujipendekeza na kumfurahisha Mama, Nyalandu ameubeba huu uongo na kwenye mahojiano na Pastor Mark Burns (mshauri wa kiroho wa Trump ambaye pia anashirikiana na ALLATRA), alifikia hatua ya kumwita Jahl kuwa ni "monster in hiding". Nyalandu ameenda mbali zaidi na kuapa kulipeleka suala hili mezani kwa Rais na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) ili wahakikishe Jahl anashughulikiwa, huku akihoji inakuwaje Jahl aliachiwa baada ya kukamatwa hapo awali.

Lakini kumbe huu wote ni mchezo mchafu wa kutengeneza! Hakuna taarifa yoyote kwenye vyombo vya habari vya Kitanzania kuhusu huyu Jahl kufuatiliwa wala kukamatwa huko Moshi. Si ingekuwa stori kubwa sana hii?

Tena vyombo vya usalama vya Czech vimefanya uchunguzi wao na kuhitimisha rasmi kwamba tuhuma zote dhidi ya Jahl ni za kutunga asilimia mia moja. Polisi wa kule wamesema hii ni kampeni ya makusudi ya kuchafuana na kulipiza kisasi tu. Kwa ufupi, wakati akina Nyalandu wanatumia wengine kujisafisha, wao wenyewe wametumiwa kama rungu na 'cult' kulipiza visasi vyao binafsi kimataifa na kufanya haramu zao zionekane halali!

Tafakarini sana wakuu, hii ndio diplomasia yetu ya sasa. Nawasilisha.
 
Spiritual Diplomats

14 February 2026

Ambassador Lazaro Nyalandu on Child Protection | United in Liberty: The Rise of Spiritual Diplomats

View: https://m.youtube.com/watch?v=Cac222BhUOs
His Excellency Ambassador Lazaro Nyalandu, Ambassador and Advisor to the President of the United Republic of Tanzania on Diplomatic Affairs, delivers a powerful address. In his powerful remarks, Ambassador Nyalandu declares the safety of children as a 'God-given responsibility' and a noble duty by which our very humanity is measured.

He speaks passionately about the universal mandate to protect and love the most vulnerable, placing child protection at the forefront of global spiritual diplomacy.

Addressing a grave breach of this trust, the Ambassador highlights the troubling Jakub Jahl case, noting the alleged misappropriation of funds by the Czech national and alleged abuse against children in an orphanage in Moshi, near Mount Kilimanjaro, and emphasizes the importance of accountability and justice.

This mission, he notes, is an extension of Tanzania’s 'open-arm policy' which is a legacy of peace and hospitality under the leadership of President Samia Suluhu Hassan, whose administration stands tall in its commitment to shielding children from harm and upholding their rights across the African continent.

He also highlights Tanzania’s longstanding legacy of peace, hospitality, and protection for refugees.This powerful message reinforces the conference’s themes of unity, moral leadership, global cooperation, and protection of human dignity.

It reflects Ambassador Nyalandu’s deep commitment to humanitarian duty and interfaith dialogue, calling for global unity in safeguarding children and upholding faith-based values across nations.United in Liberty:

The Rise of Spiritual Diplomats international interfaith conference, held on January 22, 2026, in the U.S. Capitol Caucus Room in Washington, D.C, under the leadership of Pastor Mark Burns — Chairman of the Spiritual Diplomats and Spiritual Advisor to President Trump, on the ALLATRA platform.The event brought together faith leaders, diplomats, lawmakers, and advocates for religious freedom and humanitarian responsibility.
 
2 February 2026
United in Liberty: The Rise of Spiritual Diplomats | Interfaith Conference in the U.S. Capitol

View: https://m.youtube.com/watch?v=5btt_tzFJkU
On January 22, 2026, in Washington, D.C., faith leaders, lawmakers, diplomats, human rights advocates, and civil society representatives gathered for the historic International Interfaith Conference — United in Liberty :

The Rise of Spiritual Diplomats, hosted by Pastor Mark Burns on the ALLATRA International Public Movement platform in the U.S. Capitol Caucus Room.

This momentous event focused on unity across beliefs and cultures, freedom of religion or belief, shared human values, protection of children, and global peace — bringing voices together from around the world to champion these core principles.

Featured Speakers & Highlights:

• Special Video Address from the President Donald J. Trump

• Pastor Mark Burns — Chairman of the Spiritual Diplomats and Spiritual Advisor to President Trump — opened the session with a powerful call to faith-based leadership and conscience-driven action.

• Members of the U.S. Congress — including Rep. Gus M. Bilirakis, Rep. Mark Harris, and Rep. Joe Wilson — spoke on religious freedom as an essential human right and the heartbeat of human dignity.

• Matt Schlapp, Chairman of the American Conservative Union, warned of rising threats to religious and expressive freedoms.

• Maryna Ovtsynova, President of ALLATRA International Public Movement, addressed systemic threats to freedom and outlined the importance of unity across cultures and faiths.

• Brock Pierce — futurist and philanthropist — discussed how faith counteracts fear and division and underpins spiritual diplomacy.

• Dr. Michael Jenkins, President of the Universal Peace Federation and the Washington Times Holdings, highlighted the healing power of interfaith dialogue.

• Sir Professor Dr. Gabriele Pao-Pei Andreoli, President of the Institute for Advanced Studies and Cooperation and Ethical AI leader affiliated with the Vatican, speaking on “From Law to Conscience” and the future of global governance.International Leaders & Faith Figures:

• His Excellency Caleb Mutfwang (Plateau State, Nigeria) and Manji Wilson on peace and cohesion

• Rabbi Elie Abadie, Reverend Biodun Fatoyinbo, Rabbi Asher Lopatin, and Rabbi Duvi Honig on coexistence and moral courage

• Sheikh Eşref Efendi, Naqshbandi Sufi Master from Germany, on “In God We Trust” and the power of the “rope of God” for peace and unity

• Rev. Damian Dunkley, President of the Family Federation for World Peace and Unification USA, presenting a report on religious persecution in Korea.Stories of Advocacy & Resilience:

• Scarlett Lewis, founder of the Choose Love Movement, on child protection and transforming tragedy into purpose

• His Excellency Ambassador Lazaro Nyalandu, Tanzanian diplomat and former Cabinet Minister, speaking on protecting children in Tanzania and securing their future

• Rushan Abbas, Founder and Executive Director of the Campaign for Uyghurs, whose sister is unjustly imprisoned by the CCP, presenting “Unbroken: Uyghur Voices” and calling for a united interfaith response to Uyghur persecution

• Aliia Roza, former secret agent turned women’s empowerment coach, speaking on child and human trafficking and efforts to protect innocent lives

• Ukrainian advocates Vitaliy Orlov and Oleksandr Ilash on spiritual support and relief efforts

• Madelyn Rodriguez, advocate and community leader, on compassion-driven leadership, civic engagement, and the importance of protecting the most vulnerable

• Special Appearance: Geophysicist Elizaveta Khromova, sharing her journey from persecution to renewed faith and presenting Pastor Mark Burns with her book, “Pastor Mark Burns: The Man Who Restored My Faith,” dedicated to him

• Moderated by Olga Schmidt, President of the Creative Society.

The conference underscored Spiritual Diplomats — faith leaders stepping into places politics cannot reach, carrying wisdom instead of weapons, and working for peace where treaties and policies have failed.
 
Why It Matters​

1785858471412.png

Pastor Mark Burns
“Every day, innocent lives are caught in the crossfire of politics, war, and power struggles. Spiritual Diplomats step in to remind leaders that real power serves the people. We carry no weapons—we carry wisdom. And wisdom saves lives.”
Founder & Chairman
Signed
 
Sijui relevance ya hii posting.
Hapa tunaongea kuhusu maridhiano.
Hii posting ni distraction.

Hawa sex maniacs glibly talking about "Spiritual Diplomacy", this is not a good thing.

This paedophile fellow, ilikuwa lazima ashtakiwe kwa Wabunge wa Marekani?
Surely those Congressmen have better things to do.
 
Mkuu hakuna maridhiano ya kweli bila uwajibikaji.

Wewe utamsamehe mtu ambaye anasema yaliyopita si ndwele tugange yajayo wakati anaendelea kukukosea na kukana makosa yake?
 
Wakuu, kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na stori moja ya ajabu sana…

Tunakumbuka wote jinsi kina Nyalandu, Kombo na Kabudi walivyokuwa wakisafiri duniani kujisafisha dhidi ya ile damu waliyonayo mkononi serikali batili. Lakini kumbe, kwenye kutapatapa kwake, Nyalandu amejikuta akiingia mkenge na kushirikiana na ‘cult’ inayoitwa ALLATRA ambayo inaweza kumchafua Samia zaidi.

Kwa wasiojua, hii ALLATRA ni kundi ambalo wataalamu wa usalama na mashirika ya kijasusi duniani wanaliita ni ‘cult’ yenye itikadi kali juu ya mwisho wa dunia (apocalyptic) lililoanzia huko Ukraine. Hawa jamaa wanatumia janja wanayoiita ‘Spiritual Diplomacy’. Watafiti wa mambo ya kiusalama wanasema hii ni mbinu yao tu ya kutafuta ‘mainstream validation’ kwa kujipendekeza kwa wanasiasa wazito ili wakwepe lebo ya kuwa wao ni kundi la hatari au vibaraka wa Urusi. Wakati kundi hilo liimepigwa marufuku Russia na Ukraine yenyewe kulifungulia mashtaka na kuvamia maeneo yao tofauti.

Hapa ndipo walipomnasa Nyalandu kwenye hii desperateness yake. Walimpa shavu la kuwa mzungumzaji mkuu kwenye kongamano lao kule U.S. Capitol Complex mapema mwaka huu wa 2026. Huko alifikia hatua ya kutoa mpaka salamu kwa niaba ya Mama. Kwa kifupi, ALLATRA wamemtumia Nyalandu kufanya harakati zao zionekane kama kazi halali za kibinadamu.

View: https://youtu.be/Cac222BhUOs

Wakati Nyalandu anatulisha matango pori akiipamba hii ishu kama "misheni takatifu ya kulinda watoto," kumbe wachunguzi wa kujitegemea na wataalamu wa 'counter-intelligence' wanatoa onyo zito. Wanasema huu ushirika wao wa kutumia vigogo ni gia tu ya kuficha madudu yao—kusambaza propaganda zao, upotoshaji wa mambo ya tabianchi, na kufanya operesheni za kijasusi mtandaoni.

Kama hiyo haitoshi wakuu, hebu tazameni jinsi ALLATRA wanavyomtumia Nyalandu kwenye kampeni yao chafu kummaliza adui yao, Jakub Jahl.

Huyu Jahl ni mwana-YouTuber na mwanaharakati kutoka Jamhuri ya Czech anayepambana sana kufichua madhehebu ya hatari. Sasa, vyombo vya habari vya ALLATRA vimemtungia tuhuma nzito za uongo kuwa ananyanyasa watoto yatima kule Moshi. Kwenye ile harakati yake ya kujipendekeza na kumfurahisha Mama, Nyalandu ameubeba huu uongo na kwenye mahojiano na Pastor Mark Burns (mshauri wa kiroho wa Trump ambaye pia anashirikiana na ALLATRA), alifikia hatua ya kumwita Jahl kuwa ni "monster in hiding". Nyalandu ameenda mbali zaidi na kuapa kulipeleka suala hili mezani kwa Rais na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) ili wahakikishe Jahl anashughulikiwa, huku akihoji inakuwaje Jahl aliachiwa baada ya kukamatwa hapo awali.

Lakini kumbe huu wote ni mchezo mchafu wa kutengeneza! Hakuna taarifa yoyote kwenye vyombo vya habari vya Kitanzania kuhusu huyu Jahl kufuatiliwa wala kukamatwa huko Moshi. Si ingekuwa stori kubwa sana hii?

Tena vyombo vya usalama vya Czech vimefanya uchunguzi wao na kuhitimisha rasmi kwamba tuhuma zote dhidi ya Jahl ni za kutunga asilimia mia moja. Polisi wa kule wamesema hii ni kampeni ya makusudi ya kuchafuana na kulipiza kisasi tu. Kwa ufupi, wakati akina Nyalandu wanatumia wengine kujisafisha, wao wenyewe wametumiwa kama rungu na 'cult' kulipiza visasi vyao binafsi kimataifa na kufanya haramu zao zionekane halali!

Tafakarini sana wakuu, hii ndio diplomasia yetu ya sasa. Nawasilisha.

Duuh hatari!
 
Nyalandu huyu CIA kweli? Wajuzi wa mambo tujuzeni hapa
 
Back
Top Bottom