Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Jf,
SALAAM!
Yaani hapa KAKONKO mmiliki wa shule binafsi anaeonekana msomi anatiririsha choo kutoka shuleni kwake kwenda MTO MUHWAZI huku akijua maji hayo hutumiwa na wananchi wa Kijiji cha Muganza, Kanyonza, Kumwiyando, Kihomoka, na Ndabulibije!!!
Kitendo hiki kimetukatisha tamaa kwa kuwa maji hayo ndiyo kimbilio letu wananchi wa maeneo hayo (kuoga, kunywa, kufua, bustani nk).
Nachotaka kujua:-
Wananchi tufanyeje ili kukomesha ujinga huo???
Msakila Kabende
Kanyonza.