Kutazamia mawazo yenye tija kwa mwakilishi kama huyu tutasubiri sana!!

Kutazamia mawazo yenye tija kwa mwakilishi kama huyu tutasubiri sana!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
1657872741572.png
 
Dah! Ila jamaa alifaidi. Angekuwa amechomekea shati lazima angeumbuka.

Hiyo manzi ina makusudi mpaka basi.
Pepo la uzinzi ndilo lililofaidi, lakini mwenyewe aliishia kujiaibisha mbele ya jamii!! Ujue hakujua kama kuna mtu anampiga picha na mwisho wa siku anaanikwa hadharani!!

1657874284878.png
 
Samahani hivi kuna polisi mwenye akili za kujitegemea ambazo ni zake mwenyewe ambaye hajashikiliwa!!??
Fikiria mara ngapi umesikia maneno haya-- "Maelekezo kutoka juu!"
Muone na kumsikiliza hata kiranja wao - SN sirro,
Labda, Ninakumbuka akina Ernest Mangu wa zamani walikuwa wanajua kunyamaza ili wasionyeshe upumbavu! wao au waliowatuma!
Akili ikishikiliwa mda mrefu binadamu anapatwa na ulemavu wa akili.
Polisi karibu wote ni walemavu wa hiki kiungo ubongo/akili
 
KU
Huyo kangi ni mbunge wa jimbo gani?
Kuna wakati alikuwa mbunge nadhani wa kahama huko kama sijakosea! Akapata skando ya kuomba rushwa alipokuwa kwenye kamati ya bunge wakitembelea mashirika ya umma.
 
KU

Kuna wakati alikuwa mbunge nadhani wa kahama huko kama sijakosea! Akapata skando ya kuomba rushwa alipokuwa kwenye kamati ya bunge wakitembelea mashirika ya umma.
Alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara Mkoani Mara.
 
Lifestyle ukiishi kwa kuangalia watu unakuwa kama unaishi jela

Burudani ni sehemu ya maisha
Ngoja nikuulize kwa nini kwenye kampeni wanatumia wasanii , na kwa nini wasitangaze tu kuna mkutano tukaenda kusikiliza hoja watu wakadadafua
 
Wabongo bhana, Kwahy mtu asifurahi kisa mtasema hana tija.?
 
Mbona rais wa ufaransa alikuwa anakula Bata fresh tu
Kuna wabunge wengine hawana mbwembwe wala vituko Ila hamna lolote wanalifanya
Akili kichwani mwako

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sisi wabongo tuna matatizo ya akili, mtu akiishi hivi tunamlalamikia akiishi vinginevyo bado tutamlalamikia.
Unaweza kumkuta mtoa mada yupo kwenye viwanja vyake vya kujidai lkn hakuna mtu amemlaumu kwa kuwepo eneo hilo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom