Kutegemea Kilimo kunashangaza MNO!!

Kutegemea Kilimo kunashangaza MNO!!

Samahani

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
221
Reaction score
335
Wakuu,

Pamoja na ukweli kuwa kipato katika jamii kinatofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, lipo jambo la kushangaa kila ninapowaona wakulima!! Haiingii akilini kuona kwamba, kuna waajiriwa ambao pia ni wajasiriamali wanaoishi hasa mijini, ambao mapato yao katika mwezi kwa wastani ni kati ya MILIONI MOJA mpaka MBILI. Hawa, katika Mwaka, wana uhakika wa kutengeneza kipato mpaka kufikia Milioni 12 au zaidi.

Lakini wengi kati ya hawa, wanalalamika kuwa MAISHA NI MAGUMU, MAISHA YAMEPANDA!!

Wala sipingani nao, hata mimi ni mmoja kati ya ambao kila kukicha nakiri, HERI YA JANA KULIKO LEO!!

Lakini ajabu ni kuwa, ninao NDUGU, JAMAA na MARAFIKI, ambao wanaishi Vijijini. Hawa, Shughuli pekee wanayoitegemea katika mwaka mzima ni KILIMO, tena CHA JEMBE LA MKONO..

Napata sana shida kujua, ni kwa namna gani watu hawa wanaweza kuuona tena kila MWAKA MPYA, au kuusubiri tena kila msimu wa kilimo huku WAKITEGEMEA KILIMO CHA JEMBE LA MKONO PEKE YAKE!!!

Tena basi misimu inatofautiana. Kuna misimu wanavuna sana, lakini kuna misimu inakuwa migumu kwao. Sasa fikiri mtu ambaye msimu umemwendea mrama, akauza vyote alivyopata, akapata MILIONI MBILI au wakati fulani pungufu ya hapo, tena kwa mbinde sana.. Mtu huyu anafikia vipi msimu unaofuata???

Lakini wakati mimi nawaza haya, Kuna mkulima wala halalamikii ugumu wa maisha pamoja na ukweli kuwa, kwa mtazamo wangu, namwona akiwa anakabiliwa na hali tete ya kiuchumi!!

Hii inanilazimu tu kukiri kuwa, KUTEGEMEA KILIMO PEKE YAKE KUNASHANGAZA MNO!!
 
Na kwa kushangaza zaidi, wanayafurahia zaidi maisha yao ukilinganisha na wengine tunaokimbizana usiku na mchana kukuza vipato.. Ama kweli hili linashangaza...
 
Unajua ni kwa nini wakulima tulio wengi Huwa tuachukulia hali hii POA?
Jibu ni kwamba katika kilimo Kuna KESHO TENA! ikiwa leo umekosa, basi KESHO UTAPA, yaani Hakuna mtu mwenye imani kama Mkulima. Na hiyo kesho akipata anapata Kweli kweli, wewe wa mjini unaweza tengeneza 12 per year yeye akaitengeneza hiyo 12M per 3 Months only so hiyo ndio Jeuri pekee alonayo Mkulima.
 
Kwanza Asante kwa uzoefu, kweli umezungumza Jambo muhimu mno. Ila Sasa kinachonishangaza ni kwamba, mwenye mshahara mambo yakimwendea kombo atakopa au kuchukua salary advance. Vipi huyu mkulima kwa miaka au msimu Mambo yanapokuwa si Mambo???
 
Wakuu,

Pamoja na ukweli kuwa kipato katika jamii kinatofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, lipo jambo la kushangaa kila ninapowaona wakulima!! Haiingii akilini kuona kwamba, kuna waajiriwa ambao pia ni wajasiriamali wanaoishi hasa mijini, ambao mapato yao katika mwezi kwa wastani ni kati ya MILIONI MOJA mpaka MBILI. Hawa, katika Mwaka, wana uhakika wa kutengeneza kipato mpaka kufikia Milioni 12 au zaidi.

Lakini wengi kati ya hawa, wanalalamika kuwa MAISHA NI MAGUMU, MAISHA YAMEPANDA!!

Wala sipingani nao, hata mimi ni mmoja kati ya ambao kila kukicha nakiri, HERI YA JANA KULIKO LEO!!

Lakini ajabu ni kuwa, ninao NDUGU, JAMAA na MARAFIKI, ambao wanaishi Vijijini. Hawa, Shughuli pekee wanayoitegemea katika mwaka mzima ni KILIMO, tena CHA JEMBE LA MKONO..

Napata sana shida kujua, ni kwa namna gani watu hawa wanaweza kuuona tena kila MWAKA MPYA, au kuusubiri tena kila msimu wa kilimo huku WAKITEGEMEA KILIMO CHA JEMBE LA MKONO PEKE YAKE!!!

Tena basi misimu inatofautiana. Kuna misimu wanavuna sana, lakini kuna misimu inakuwa migumu kwao. Sasa fikiri mtu ambaye msimu umemwendea mrama, akauza vyote alivyopata, akapata MILIONI MBILI au wakati fulani pungufu ya hapo, tena kwa mbinde sana.. Mtu huyu anafikia vipi msimu unaofuata???

Lakini wakati mimi nawaza haya, Kuna mkulima wala halalamikii ugumu wa maisha pamoja na ukweli kuwa, kwa mtazamo wangu, namwona akiwa anakabiliwa na hali tete ya kiuchumi!!

Hii inanilazimu tu kukiri kuwa, KUTEGEMEA KILIMO PEKE YAKE KUNASHANGAZA MNO!!
Unazungumzia wakulima wawapi hao wasio athiriwa na kushuka kwa bei za mazao nchini au Unazungumzia wale wakulima wa chakula? Yeye anachopata kinakidhi mahitaji yake. Vijijini Kuna kundi la watu 'wenye uelewa' linaloundwa na makundi ya wafanyakazi za ofisini, wafanya biashara, wanasiasa na wasomi hawa ni lazima wa kwambie hali ni ngumu au rahisi.
 
Katika swala la Mambo kumuendea Kombo, bado ana nafasi kubwa sana ya Kukopeshwa/kupigwa tafu na Hii ni kwa wale wakulima ambao wamejizatiti kufanya Kilimo in Modern ways kwamba Bank mbali mbali zinaweza mpiga tafu na baadae kulipa, Njia nyingine ataweza kurudi Ghalani na kuchukua sehem ya Akiba na kuuza ili kuokoa Jahazi ama Kuingia Bank kuchukua sehem ya Kile alich pata kwenye msimu ulopita. Kilimo ni Changamoto kubwa sana, Yahitaji Akili nyingi sana na uwe Committed
 
Sasa hapa umekwenda mbali kwa wale walio na nafasi ya kuzifikia benki. Hasa nawalenga wale ambao TEGEMEO LAO NI JEMBE LA MKONO PEKE YAKE... Na ninachojiuliza.. Wanafanikiwaje kuungoja msimu mwingine wa kilimo hasa wanapopitia misimu migumu???
Katika swala la Mambo kumuendea Kombo, bado ana nafasi kubwa sana ya Kukopeshwa/kupigwa tafu na Hii ni kwa wale wakulima ambao wamejizatiti kufanya Kilimo in Modern ways kwamba Bank mbali mbali zinaweza mpiga tafu na baadae kulipa, Njia nyingine ataweza kurudi Ghalani na kuchukua sehem ya Akiba na kuuza ili kuokoa Jahazi ama Kuingia Bank kuchukua sehem ya Kile alich pata kwenye msimu ulopita. Kilimo ni Changamoto kubwa sana, Yahitaji Akili nyingi sana na uwe Committed
 
Unazungumzia wakulima wawapi hao wasio athiriwa na kushuka kwa bei za mazao nchini au Unazungumzia wale wakulima wa chakula? Yeye anachopata kinakidhi mahitaji yake. Vijijini Kuna kundi la watu 'wenye uelewa' linaloundwa na makundi ya wafanyakazi za ofisini, wafanya biashara, wanasiasa na wasomi hawa ni lazima wa kwambie hali ni ngumu au rahisi.
Nazungumzia hasa wakulima wadogo wa chakula. Na ninachojiuliza hasa ni vipi wanaweza kuendelea kuvuka msimu mmoja kwenda mwingine wa kilimo hasa wanapopitia misimu migumu isiyo na mavuno ya kutosha???
 
Wakuu,

Pamoja na ukweli kuwa kipato katika jamii kinatofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, lipo jambo la kushangaa kila ninapowaona wakulima!! Haiingii akilini kuona kwamba, kuna waajiriwa ambao pia ni wajasiriamali wanaoishi hasa mijini, ambao mapato yao katika mwezi kwa wastani ni kati ya MILIONI MOJA mpaka MBILI. Hawa, katika Mwaka, wana uhakika wa kutengeneza kipato mpaka kufikia Milioni 12 au zaidi.

Lakini wengi kati ya hawa, wanalalamika kuwa MAISHA NI MAGUMU, MAISHA YAMEPANDA!!

Wala sipingani nao, hata mimi ni mmoja kati ya ambao kila kukicha nakiri, HERI YA JANA KULIKO LEO!!

Lakini ajabu ni kuwa, ninao NDUGU, JAMAA na MARAFIKI, ambao wanaishi Vijijini. Hawa, Shughuli pekee wanayoitegemea katika mwaka mzima ni KILIMO, tena CHA JEMBE LA MKONO..

Napata sana shida kujua, ni kwa namna gani watu hawa wanaweza kuuona tena kila MWAKA MPYA, au kuusubiri tena kila msimu wa kilimo huku WAKITEGEMEA KILIMO CHA JEMBE LA MKONO PEKE YAKE!!!

Tena basi misimu inatofautiana. Kuna misimu wanavuna sana, lakini kuna misimu inakuwa migumu kwao. Sasa fikiri mtu ambaye msimu umemwendea mrama, akauza vyote alivyopata, akapata MILIONI MBILI au wakati fulani pungufu ya hapo, tena kwa mbinde sana.. Mtu huyu anafikia vipi msimu unaofuata???

Lakini wakati mimi nawaza haya, Kuna mkulima wala halalamikii ugumu wa maisha pamoja na ukweli kuwa, kwa mtazamo wangu, namwona akiwa anakabiliwa na hali tete ya kiuchumi!!

Hii inanilazimu tu kukiri kuwa, KUTEGEMEA KILIMO PEKE YAKE KUNASHANGAZA MNO!!
Mkuu unajua gharama za kuishi mjini? Kutupa takataka zako mwenyewe unalipia! Kila kitu mjini kinalipiwa, kijijini/mashambani asilimia 90 ya matumizi yao yanatoka kwenye shamba(mf. mboga zote za majani wanachuma tu, mahindi matunda, mihogo, maboga wanayapata shambani(hawanunui). USICHEZE NA MJI MKUU.
 
Doh!! Umetandika msumari wa nguvu hapo!! Hili naliona kwa upana wake kabisa. Mjini toka kuamka Hadi kufumba jicho ni mwendo wa matumizi... Lakini Mimi ambacho kinanifikirisha ni kwamba, huyu wa "kuitwa mkulima wa kawaida", nguvu yake yote anaielekeza kwenye jembe, Tena la mkono.. Napata wakati mgumu Sana kuelewa "Ni kwa namna gani mtu huyu anaweza kuufikia msimu mwingine". Kwangu, pamoja na elimu pana kwenye mambo ya fedha, nauona ugumu mkubwa kikibadili kipato kidogo Cha msimu mzima kwenda kwenye matumizi ya mwaka mzima...
 
Wakuu,

Pamoja na ukweli kuwa kipato katika jamii kinatofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, lipo jambo la kushangaa kila ninapowaona wakulima!! Haiingii akilini kuona kwamba, kuna waajiriwa ambao pia ni wajasiriamali wanaoishi hasa mijini, ambao mapato yao katika mwezi kwa wastani ni kati ya MILIONI MOJA mpaka MBILI. Hawa, katika Mwaka, wana uhakika wa kutengeneza kipato mpaka kufikia Milioni 12 au zaidi.

Lakini wengi kati ya hawa, wanalalamika kuwa MAISHA NI MAGUMU, MAISHA YAMEPANDA!!

Wala sipingani nao, hata mimi ni mmoja kati ya ambao kila kukicha nakiri, HERI YA JANA KULIKO LEO!!

Lakini ajabu ni kuwa, ninao NDUGU, JAMAA na MARAFIKI, ambao wanaishi Vijijini. Hawa, Shughuli pekee wanayoitegemea katika mwaka mzima ni KILIMO, tena CHA JEMBE LA MKONO..

Napata sana shida kujua, ni kwa namna gani watu hawa wanaweza kuuona tena kila MWAKA MPYA, au kuusubiri tena kila msimu wa kilimo huku WAKITEGEMEA KILIMO CHA JEMBE LA MKONO PEKE YAKE!!!

Tena basi misimu inatofautiana. Kuna misimu wanavuna sana, lakini kuna misimu inakuwa migumu kwao. Sasa fikiri mtu ambaye msimu umemwendea mrama, akauza vyote alivyopata, akapata MILIONI MBILI au wakati fulani pungufu ya hapo, tena kwa mbinde sana.. Mtu huyu anafikia vipi msimu unaofuata???

Lakini wakati mimi nawaza haya, Kuna mkulima wala halalamikii ugumu wa maisha pamoja na ukweli kuwa, kwa mtazamo wangu, namwona akiwa anakabiliwa na hali tete ya kiuchumi!!

Hii inanilazimu tu kukiri kuwa, KUTEGEMEA KILIMO PEKE YAKE KUNASHANGAZA MNO!!

Mkuu lazima ujue wote lazima tupate chakula kabla ya kufanya kitu chochote, ndio biashara muhimu kuliko zote duniani.

Bila chakula hutakuja mtandaoni, wakulima wenzetu wanapata ruzuku ila wakwetu wanapambana na hali zao wenyewe , hii ndio tofauti.

Chakula ndio kitu muhimu kuliko vyote.
 
Hapa umesema vema kabisa.. Hakika chakula ndicho muhimu zaidi. Kumbe kwa kujiwekea chakula huenda ndio sababu ya kuwabakiza wakulima hasa wa kawaida kwenye mstari. Ingawa hapa na pale nimepata kuona hili, upo pia umuhimu wa akiba kwenye maisha ya Kila siku. Kuna wakati tunahitaji matibabu, usafiri, elimu, nishati, mavazi, malazi na kadha wa kadha. Huyu mkulima ambaye amefanikiwa kumaliza msimu kwa kupata "WALAU CHAKULA", anayafikia vipi hayo yote???
 
Akiba kubadirisha mazao kwa pesa. Akiba mkuu.
 
Kilimo ni Muhimu sana
Ila yataka kujipanga na kuwa na malengo
Wengi wana wa vijijini,hulima ili waishi tu na kusogeza masiku,hawana plan ya kesho wengi wao
Ila mwana wa mjini,akirudi na kushika jembe,huwa mtazame sana.

Ila Kilimo ni Muhimu sana
 
Sasa ajabu ni namna wanavyofanikiwa kufikia mwaka mwingine wakiwa na kilekile walichovuna mwaka uliotangulia.. Hili linawezekanaje????
Kilimo ni Muhimu sana
Ila yataka kujipanga na kuwa na malengo
Wengi wana wa vijijini,hulima ili waishi tu na kusogeza masiku,hawana plan ya kesho wengi wao
Ila mwana wa mjini,akirudi na kushika jembe,huwa mtazame sana.

Ila Kilimo ni Muhimu sana
 
Nazungumzia hasa wakulima wadogo wa chakula. Na ninachojiuliza hasa ni vipi wanaweza kuendelea kuvuka msimu mmoja kwenda mwingine wa kilimo hasa wanapopitia misimu migumu isiyo na mavuno ya kutosha???
Vijijini vyakula vinapatikana kwa urahisi sio kama mijini. Ndio maana wanafanikiwa kuumudu gharama za maisha
 
Lakini ndugu yangu Kuna miaka hali inakuwa tete kwelikweli, na hata hicho chakula kinakosekana.. Mara kadhaa tunasikia habari za mafuriko, ukame, wadudu waharibifu, nzige, na mengine kibao. Ukiachana na Yale majanga ya Eneo Kubwa "large scale effects" ambayo huchagiza misaada, yapo Yale yanayowashambulia mkulima mmoja mmoja. Hawa watu "HUWA WANAWEZAJE KUUFIKIA MSIMU MWINGINE???"

Hakika Inahitaji akili ya ziada kuelewa mambo hayo!!
 
Kwanza Asante kwa uzoefu, kweli umezungumza Jambo muhimu mno. Ila Sasa kinachonishangaza ni kwamba, mwenye mshahara mambo yakimwendea kombo atakopa au kuchukua salary advance. Vipi huyu mkulima kwa miaka au msimu Mambo yanapokuwa si Mambo???
Ulitaka ategemee nini ?
 
Lakini ndugu yangu Kuna miaka hali inakuwa tete kwelikweli, na hata hicho chakula kinakosekana.. Mara kadhaa tunasikia habari za mafuriko, ukame, wadudu waharibifu, nzige, na mengine kibao. Ukiachana na Yale majanga ya Eneo Kubwa "large scale effects" ambayo huchagiza misaada, yapo Yale yanayowashambulia mkulima mmoja mmoja. Hawa watu "HUWA WANAWEZAJE KUUFIKIA MSIMU MWINGINE???"

Hakika Inahitaji akili ya ziada kuelewa mambo hayo!!
Unajua mkuu vijiji vingi vya Tanzania wakazi wake wa nategemea shughuli tatu za msingi kilimo, ufugaji na uvuvi. Sasa inapotokea shughuli moja kuwa ngumu, zilizo salia humuwezesha mkazi wa kijijini kuumudu maisha. Kumbuka, vijiji vyote havifanani kwa mzunguko wapesa. Kuna shughuli zingine zaidi ya hizo tatu za msingi. Na sio kwamba wao hawaoni kama maisha yamebadilika kuwa magumu au rahisi la hasha(lejea kwenye reply yangu ya kwanza). Hujawahi kuishi kijijini au hata kuzulu tu?
 
Back
Top Bottom