Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
mkuu ukisoma comment ya Capitalist M utapata maana yangu maana kaongeza maswali mengine wakati akijibu thread yako..so just be a thinker utaona anachomaanishaUlitaka kusemaje labda mkuu Ferds?
mkuu ukisoma comment ya Capitalist M utapata maana yangu maana kaongeza maswali mengine wakati akijibu thread yako..so just be a thinker utaona anachomaanisha
Hii inaonyesha jinsi watanzania wengi tumekimbia Sayansi na kukimbilia Arts.......Siasa uchwara&porojo zina athari mbaya.
Swali langu linataka majibu ya kitaalam,na mechanism ya nilichouliza naamin watu wenye ujuz wa mwili wa binadamu wanaweza kuelezea vema.
Otherwise kuna nyuzi za ku argue kwa milolöngo mirèfu,ila hii inahtaj just a clear answer.
CHEERS
Hii inaonyesha jinsi watanzania wengi tumekimbia Sayansi na kukimbilia Arts.......
Science ipo broad sana mkuu manuu!
Kwa mfano,biology nimeisoma hadi form 4 na ku score A,lakini nika opt engineering,ambayo pia ni sayansi.
Hvyo,kuulza hli,nahtaj wenye ujuzi na Biological science wanijuze.
CC watu8 MziziMkavu X-PASTER ZeMarcopolo kibaravumba
Habari mkuu,
Kwa nini tunacheka tukitekenywa?
Kwa kawaida kuna aina mbili za kucheka, mosi ni kile kicheko cha kawaida ambacho hutokana na mabadiliko ya empotions na pili kuna kicheko kisababishwacho na kutekenywa.
Utofauti wa vicheko hivi unaonekana zaidi katika activities za ubongo wa mwanadamu pale vinavyokuwa vimetukia.
Vicheko vyote viwili vinasababisha sehemu ya ubongo iitwayo 'Rolandic Operculum' kuwa activated, hata hivyo kichekesho kisababishwacho na kutekenywa huenda mbali na kuactivate 'hypothalmus', ogani hii husababisha either 'fight' au 'flight'..
Watafiti wa tabia za binadamu wanaamini kuwa, kitendo cha kutekenya huamsha sehemu ya ubongo ambayo kazi yake ni kutafsiri maumivu au kujihami na maumivu. Ndio maana unapojaribu kuelekeza mkono wako ili umtekenye mtu iwe kwa makusudi au bahati mbaya, basi mtu yule hujikwepesha au wakati mwingine hukimbia.
NB:
Maelezo mengine yote ni nyama, kwa ufupi jibu la swali lako lipo katika maandishi mekundu.
I appreciate kaka watu8,umenielezea vema part ya kwanza ya swali... ndaga fijho!!!!
Sasa,kwanini umri unapo kwenda mtu akitekenywa hacheki tena,au anacheka kwa ugumu mno?
Ina maana nerves zilizopo maeneo hayo ni temporary tu?