Kutekenywa & KUCHEKA

Kutekenywa & KUCHEKA

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,979
Salaam wana Jf.
Naomba kujuzwa
1:mechanism behind kutekenywa(Kwapani,tumboni,kwene mbavu nk) na kwanini mtu akitekenywa anacheka.
2:Kwanini,as age advances,hiyo hali inapungua.
Ahsanteni.
 
Kwa nini mtu akipigwa analia badala ya kucheka? Nani anamfundisha? Kwa nini mtu akijitekenya mwenyewe hawezi kucheka? Kwa nini iwe kucheka na sio kulia, kuimba, kuongea sana au kuunguruma kama fast jet? Nadhani ukijiuliza maswali kama haya utanufaika sana.
 
Mwerevu vs mwenye akili=??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
mkuu ukisoma comment ya Capitalist M utapata maana yangu maana kaongeza maswali mengine wakati akijibu thread yako..so just be a thinker utaona anachomaanisha

Siasa uchwara&porojo zina athari mbaya.
Swali langu linataka majibu ya kitaalam,na mechanism ya nilichouliza naamin watu wenye ujuz wa mwili wa binadamu wanaweza kuelezea vema.
Otherwise kuna nyuzi za ku argue kwa milolöngo mirèfu,ila hii inahtaj just a clear answer.
CHEERS
 
Hii inaonyesha jinsi watanzania wengi tumekimbia Sayansi na kukimbilia Arts.......

Last edited by a moderator:
Science ipo broad sana mkuu manuu!
Kwa mfano,biology nimeisoma hadi form 4 na ku score A,lakini nika opt engineering,ambayo pia ni sayansi.
Hvyo,kuulza hli,nahtaj wenye ujuzi na Biological science wanijuze.
CC watu8 MziziMkavu X-PASTER ZeMarcopolo kibaravumba

Habari mkuu,

Kwa nini tunacheka tukitekenywa?

Kwa kawaida kuna aina mbili za kucheka, mosi ni kile kicheko cha kawaida ambacho hutokana na mabadiliko ya empotions na pili kuna kicheko kisababishwacho na kutekenywa.

Utofauti wa vicheko hivi unaonekana zaidi katika activities za ubongo wa mwanadamu pale vinavyokuwa vimetukia.
Vicheko vyote viwili vinasababisha sehemu ya ubongo iitwayo 'Rolandic Operculum' kuwa activated, hata hivyo kichekesho kisababishwacho na kutekenywa huenda mbali na kuactivate 'hypothalmus', ogani hii husababisha either 'fight' au 'flight'..

Watafiti wa tabia za binadamu wanaamini kuwa, kitendo cha kutekenya huamsha sehemu ya ubongo ambayo kazi yake ni kutafsiri maumivu au kujihami na maumivu. Ndio maana unapojaribu kuelekeza mkono wako ili umtekenye mtu iwe kwa makusudi au bahati mbaya, basi mtu yule hujikwepesha au wakati mwingine hukimbia.

NB:
Maelezo mengine yote ni nyama, kwa ufupi jibu la swali lako lipo katika maandishi mekundu.
 
I appreciate kaka watu8,umenielezea vema part ya kwanza ya swali... ndaga fijho!!!!
Sasa,kwanini umri unapo kwenda mtu akitekenywa hacheki tena,au anacheka kwa ugumu mno?
Ina maana nerves zilizopo maeneo hayo ni temporary tu?
 
Last edited by a moderator:
I appreciate kaka watu8,umenielezea vema part ya kwanza ya swali... ndaga fijho!!!!

Hahaha...usijali mkuu!

Sasa,kwanini umri unapo kwenda mtu akitekenywa hacheki tena,au anacheka kwa ugumu mno?
Ina maana nerves zilizopo maeneo hayo ni temporary tu?

Kwa mujibu wa Dk. Robert R. Provine ambaye ni mtaalamu wa masuala ya neva na mtunzi wa kitabu cha 'Laughter: A Scientific Investigation'.

Bwana huyu kaweka bayana mambo kadhaa yahusuyo suala la kucheka na kutekenywa, na kwa habari ya swali lako jibu lake ni kama ifuatavyo kwa ufupi:

"At about age 40, we stop tickling and typically lose interest in that activity"

Distribution ya nerves katika mwili wa binadamu si kitu cha muda mfupi, ni mfumo ambao upo permanent kwa namna Mungu alivyotuumba.

NB:
Mimi binafsi nina kaushuhuda kangu kadogo:
Nakumbuka nikiwa mdogo wakati nasoma, nilikuwa napata tabu sana na uchokozi wa kitoto wa kutekenyana.
Nilikuwa sipendi wakati watoto wenzangu wananivizia na kuanza kunitekkenya, kiukweli ilikuwa ni kero kwangu.
Kuna siku nikaamua tu kuwa hata mtu anitekenye vipi nitajizuia kucheka, nilifanikiwa mpango huo na kuanzia wakati huo hata sasa hata unitekenye vipi siwezi kucheka zaidi huwa naumia tu.
 
ni kwamba binadamu jinsi anavyo zeeka system nyinigi za mwili pia huchoka na ndio maana wazee wengu wapatwa na magonjwa hii pia inajitokeza hata katika mfumo wa fahamu japo kuwa ni kwakiasi kidogo kwani ni moja ya delicate system katika mwili..hvyo uzee pia unachangia insensitivity katika mfumo wa kucheka ,yaani inakua kama adaptation
 
Back
Top Bottom