Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
HuzuniMbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amemwaga povu zito akilaani vikali utekaji, utesaji na ukatili aliofanyiwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kazungu Bakari, huku akitahadharisha kuwa wimbi hilo la kihalifu linaiweka nchi kwenye taswira mbaya mno kisheria na kimataifa.
Kupitia taarifa yake iliyotoka leo, Agosti 9, 2026, katika mitandao ya kijamii, Ado Shaibu amefunguka kusikitishwa kwake na kitendo hicho cha kinyama dhidi ya Kazungu kada anayetambulika kwa msimamo wake thabiti wa kuikosoa Serikali na CCM mtandaoni na kulitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watesaji hao.
"Habari ya kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Kada wa CCM Kazungu Bakari anayefahamika mitandaoni kwa kauli zake za ukosoaji kwa Serikali na CCM inahuzunisha. Ninakemea kitendo hiki kwa nguvu zote na kutoa rai kwa Jeshi la Polisi kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya waliohusika. Kwa hakika, vitendo hivi vinaharibu taswira ya nchi yetu," amesema Ado Shaibu.
Kauli hii nzito kutoka kwa Mbunge Shaibu inadhihirisha kuwa ukatili wa utekaji na kuteswa kwa wakosoaji sasa umevuka mipaka ya vyama vya upinzani na kugonga hodi hadi ndani ya chama tawala, jambo linalotishia msingi wa amani na utawala wa sheria nchini.
Ado Shaibu amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi lina wajibu wa kisheria na kimaadili kuendesha uchunguzi wa haraka na wa wazi ili kuwatia nguvuni wote waliohusika na unyama huo, akionya kuwa kuendelea kufumbiwa macho kwa matukio ya aina hiyo kunazidi kuipaka matope taswira ya nchi kote duniani.
Tanzania haiwezi kuchafuka kwasababu drama za siasa nonsense ndani ya vyama vyenu vya siasa gentleman πMbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amemwaga povu zito akilaani vikali utekaji, utesaji na ukatili aliofanyiwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kazungu Bakari, huku akitahadharisha kuwa wimbi hilo la kihalifu linaiweka nchi kwenye taswira mbaya mno kisheria na kimataifa.
Kupitia taarifa yake iliyotoka leo, Agosti 9, 2026, katika mitandao ya kijamii, Ado Shaibu amefunguka kusikitishwa kwake na kitendo hicho cha kinyama dhidi ya Kazungu kada anayetambulika kwa msimamo wake thabiti wa kuikosoa Serikali na CCM mtandaoni na kulitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watesaji hao.
"Habari ya kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Kada wa CCM Kazungu Bakari anayefahamika mitandaoni kwa kauli zake za ukosoaji kwa Serikali na CCM inahuzunisha. Ninakemea kitendo hiki kwa nguvu zote na kutoa rai kwa Jeshi la Polisi kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya waliohusika. Kwa hakika, vitendo hivi vinaharibu taswira ya nchi yetu," amesema Ado Shaibu.
Kauli hii nzito kutoka kwa Mbunge Shaibu inadhihirisha kuwa ukatili wa utekaji na kuteswa kwa wakosoaji sasa umevuka mipaka ya vyama vya upinzani na kugonga hodi hadi ndani ya chama tawala, jambo linalotishia msingi wa amani na utawala wa sheria nchini.
Ado Shaibu amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi lina wajibu wa kisheria na kimaadili kuendesha uchunguzi wa haraka na wa wazi ili kuwatia nguvuni wote waliohusika na unyama huo, akionya kuwa kuendelea kufumbiwa macho kwa matukio ya aina hiyo kunazidi kuipaka matope taswira ya nchi kote duniani.
Tumia akili hata nusu kijiko cha chai!Tanzania haiwezi kuchafuka kwasababu drama za siasa nonsense ndani ya vyama vyenu vya siasa gentleman π
CCM ni wazandaki, makatili na wauaji, hamna kiongozi aliyekemea unyama uleHuzuni
Sijui tunaelekea wapi!CCM ni wazandaki, makatili na wauaji, hamna kiongozi aliyekemea unyama ule
CCM ni wazandaki, makatili na wauaji, hamna kiongozi aliyekemea unyamaTanzania haiwezi kuchafuka kwasababu drama za siasa nonsense ndani ya vyama vyenu vya siasa gentleman π
Very sadSijui tunaelekea wapi!
Serikali haramu hiiMbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amemwaga povu zito akilaani vikali utekaji, utesaji na ukatili aliofanyiwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kazungu Bakari, huku akitahadharisha kuwa wimbi hilo la kihalifu linaiweka nchi kwenye taswira mbaya mno kisheria na kimataifa.
Kupitia taarifa yake iliyotoka leo, Agosti 9, 2026, katika mitandao ya kijamii, Ado Shaibu amefunguka kusikitishwa kwake na kitendo hicho cha kinyama dhidi ya Kazungu kada anayetambulika kwa msimamo wake thabiti wa kuikosoa Serikali na CCM mtandaoni na kulitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watesaji hao.
"Habari ya kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Kada wa CCM Kazungu Bakari anayefahamika mitandaoni kwa kauli zake za ukosoaji kwa Serikali na CCM inahuzunisha. Ninakemea kitendo hiki kwa nguvu zote na kutoa rai kwa Jeshi la Polisi kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya waliohusika. Kwa hakika, vitendo hivi vinaharibu taswira ya nchi yetu," amesema Ado Shaibu.
Kauli hii nzito kutoka kwa Mbunge Shaibu inadhihirisha kuwa ukatili wa utekaji na kuteswa kwa wakosoaji sasa umevuka mipaka ya vyama vya upinzani na kugonga hodi hadi ndani ya chama tawala, jambo linalotishia msingi wa amani na utawala wa sheria nchini.
Ado Shaibu amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi lina wajibu wa kisheria na kimaadili kuendesha uchunguzi wa haraka na wa wazi ili kuwatia nguvuni wote waliohusika na unyama huo, akionya kuwa kuendelea kufumbiwa macho kwa matukio ya aina hiyo kunazidi kuipaka matope taswira ya nchi kote duniani.
hakuna haja ya kulaumu yeyote kwenye changamoto binafsi gentleman πCCM ni wazandaki, makatili na wauaji, hamna kiongozi aliyekemea unyama
tuliza mihemko jukwaani bas gentleman mwenye mihemko bila wazo jipya na mbadala wa mihemko dhidi ya maoni huru ya wengine πTumia akili hata nusu kijiko cha chai!
Kauli hii nzito kutoka kwa Mbunge Shaibu inadhihirisha kuwa ukatili wa utekaji na kuteswa kwa wakosoaji sasa umevuka mipaka ya vyama vya upinzani na kugonga hodi hadi ndani ya chama tawala, jambo linalotishia msingi wa amani na utawala wa sheria nchini.
Kinacho sikitisha zaidi ni namna ambavyo mna mkwamisha mwenyekiti wenu. Huku ana hubiri maridhiano at the same time mnaendelea na utekaji. Sasa hayo maridhiano atayafikia vipi wakati mnazidi kuongeza chuki?Tanzania haiwezi kuchafuka kwasababu drama za siasa nonsense ndani ya vyama vyenu vya siasa gentleman π
this is useless comment with nonsense narrative gentleman πKinacho sikitisha zaidi ni namna ambavyo mna mkwamisha mwenyekiti wenu. Huku ana hubiri maridhiano at the same time mnaendelea na utekaji. Sasa hayo maridhiano atayafikia vipi wakati mnazidi kuongeza chuki?
Pia watu ambao wana mwelekeo wa maridhiano, ambao wanakosoa na kushawishi kama Kazungu ndo mnawateka. Je ni nani ata promote hayo maridhiano fake?
Ichafuke mara ngapi kenge maji wewe huko dunia ya ustaarabu tumekuwa kituko kikubwa wanauliza Tanzania ya Nyerere iko wapi tumetengwa na kila jumuiya za kimataifa halafu unaendekeza uchawa tu? Acheni kuwaongopea hao viongozi tuko vibaya sana kidiplomasia yaani Museveni ndio wa sisi kujishikamanisha mtu tuliyemlea na kumuingiza madarakani? Hili ajabu jingine na viongozi waliokosa fikraTanzania haiwezi kuchafuka kwasababu drama za siasa nonsense ndani ya vyama vyenu vya siasa gentleman π
Tanzania haiwezi kuchafuka unless umechaguka wewe binafsi gentleman πIchafuke mara ngapi kenge maji wewe huko dunia ya ustaarabu tumekuwa kituko kikubwa wanauliza Tanzania ya Nyerere iko wapi tumetengwa na kila jumuiya za kimataifa halafu unaendekeza uchawa tu? Acheni kuwaongopea hao viongozi tuko vibaya sana kidiplomasia yaani Museveni ndio wa sisi kujishikamanisha mtu tuliyemlea na kumuingiza madarakani? Hili ajabu jingine na viongozi waliokosa fikra