mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Tunajuta kumfahamu
Punguani wewe kama raisi anasema kuwa mikopo na fedha tulizokuwa tunapokea kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo zimesitishwa unaweza vipi kusema hatujachafuka? Kujitia moyo ni jambo moja lakini hakuondoi ukweli kuwa hatuko sawa kidiplomasiaTanzania haiwezi kuchafuka unless umechaguka wewe binafsi gentleman 🐒
we are currently more united, more powerful and more stronger than before.Punguani wewe kama raisi anasema kuwa mikopo na fedha tulizokuwa tunapokea kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo zimesitishwa unaweza vipi kusema hatujachafuka? Kujitia moyo ni jambo moja lakini hakuondoi ukweli kuwa hatuko sawa kidiplomasia
Very trueUhalifu hauna chama, serikali wala dini.
Changamoto kubwa ni kwamba tuhuma zinatajwa kijumlajumla hivyo kuwafanya wahalifu hao kupata kinga ya mwavuli wa makundi hayo.
Taifa limeingia kwenye mtego mbaya wa kutuhumu makundi badala ya kushughulika na wahalifu wachache.
Mnajitegemea kwa lipi chizi fresh ww ? Vikwazo kidogo tu vya kusafiri na kuzuiwa kwa pesa za mafisadi wenzako milio inasikika kila mahali FYI hatuwezi kuwa wamoja tena toka ile 29/10 mambo yashavurugana mpka pale wahusika watakapo wajibishwawe are currently more united, more powerful and more stronger than before.
Tunajitegemea kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa kiasi kikubwa sana bila kubabaika na msaada wowote ule kutoka taifa lolote lile ulimwenguni.
we can do best ourselves 🐒
hizi ni porojo useless tu gentleman, wala Tanzania haina haja ya kubabaika nazo bali kusonga mbele kwa kujitegemea kiuchumi, kijamii na kisiasa 🐒Mnajitegemea kwa lipi chizi fresh ww ? Vikwazo kidogo tu vya kusafiri na kuzuiwa kwa pesa za mafisadi wenzako milio inasikika kila mahali FYI hatuwezi kuwa wamoja tena toka ile 29/10 mambo yashavurugana mpka pale wahusika watakapo wajibishwa
Unahangaika kumjibu mtu mwenye akili timamu lakini ameamua kujifanya kama juha.Punguani wewe kama raisi anasema kuwa mikopo na fedha tulizokuwa tunapokea kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo zimesitishwa unaweza vipi kusema hatujachafuka? Kujitia moyo ni jambo moja lakini hakuondoi ukweli kuwa hatuko sawa kidiplomasia
Kama ni porojo kwanini kutwa Kombo yuko kwenye vibambaza (corridors) za hao wadau wa maendeleo kudai kurudishiwa hadhi yao ya zamani ambayo imepotea baada ya 29/10hizi ni porojo useless tu gentleman, wala Tanzania haina haja ya kubabaika nazo bali kusonga mbele kwa kujitegemea kiuchumi, kijamii na kisiasa 🐒
Hakika kumpotezea tu chawa flani wahediUnahangaika kumjibu mtu mwenye akili timamu lakini ameamua kujifanya kama juha.
huo ndio wajibu wa waziri yeyote yule duniani anaitwa waziri wa mambo ya nje.Kama ni porojo kwanini kutwa Kombo yuko kwenye vibambaza (corridors) za hao wadau wa maendeleo kudai kurudishiwa hadhi yao ya zamani ambayo imepotea baada ya 29/10

Ado Huwa unajitoa kufahamu, Yani police ndio wachunguze! Serious! Msaidizi wa Lissu alifungwa pingu na kutekwa hadi alipowaponyoka watekaji na kisha kufunguliwa pingu hizo akiwa kituoni Osterbay Leo unasema police wachunguze au unamaanisha ifantike nonsensical procedure, Ado unatakiwa kuwa serious otherwise kufikia 2030 huo ubunge utausikia kwenye TV tu.Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amemwaga povu zito akilaani vikali utekaji, utesaji na ukatili aliofanyiwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kazungu Bakari, huku akitahadharisha kuwa wimbi hilo la kihalifu linaiweka nchi kwenye taswira mbaya mno kisheria na kimataifa.
Kupitia taarifa yake iliyotoka leo, Agosti 9, 2026, katika mitandao ya kijamii, Ado Shaibu amefunguka kusikitishwa kwake na kitendo hicho cha kinyama dhidi ya Kazungu kada anayetambulika kwa msimamo wake thabiti wa kuikosoa Serikali na CCM mtandaoni na kulitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watesaji hao.
"Habari ya kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Kada wa CCM Kazungu Bakari anayefahamika mitandaoni kwa kauli zake za ukosoaji kwa Serikali na CCM inahuzunisha. Ninakemea kitendo hiki kwa nguvu zote na kutoa rai kwa Jeshi la Polisi kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya waliohusika. Kwa hakika, vitendo hivi vinaharibu taswira ya nchi yetu," amesema Ado Shaibu.
Kauli hii nzito kutoka kwa Mbunge Shaibu inadhihirisha kuwa ukatili wa utekaji na kuteswa kwa wakosoaji sasa umevuka mipaka ya vyama vya upinzani na kugonga hodi hadi ndani ya chama tawala, jambo linalotishia msingi wa amani na utawala wa sheria nchini.
Ado Shaibu amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi lina wajibu wa kisheria na kimaadili kuendesha uchunguzi wa haraka na wa wazi ili kuwatia nguvuni wote waliohusika na unyama huo, akionya kuwa kuendelea kufumbiwa macho kwa matukio ya aina hiyo kunazidi kuipaka matope taswira ya nchi kote duniani.
Hayo ni mapumbavu.Kinacho sikitisha zaidi ni namna ambavyo mna mkwamisha mwenyekiti wenu. Huku ana hubiri maridhiano at the same time mnaendelea na utekaji. Sasa hayo maridhiano atayafikia vipi wakati mnazidi kuongeza chuki?
Pia watu ambao wana mwelekeo wa maridhiano, ambao wanakosoa na kushawishi kama Kazungu ndo mnawateka. Je ni nani ata promote hayo maridhiano fake?
Watu wa ACT Wazalendo hawajawahi kuwa seriousAdo Huwa unajitoa kufahamu, Yani police ndio wachunguze! Serious! Msaidizi wa Lissu alifungwa pingu na kutekwa hadi alipowaponyoka watekaji na kisha kufunguliwa pingu hizo akiwa kituoni Osterbay Leo unasema police wachunguze au unamaanisha ifantike nonsensical procedure, Ado unatakiwa kuwa serious otherwise kufikia 2030 huo ubunge utausikia kwenye TV tu.
Inayokalia kiti kwa kumwaga damu za vijana wasio na hatiaSerikali haramu hii
Inasikitisha Sana.Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amemwaga povu zito akilaani vikali utekaji, utesaji na ukatili aliofanyiwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kazungu Bakari, huku akitahadharisha kuwa wimbi hilo la kihalifu linaiweka nchi kwenye taswira mbaya mno kisheria na kimataifa.
Kupitia taarifa yake iliyotoka leo, Agosti 9, 2026, katika mitandao ya kijamii, Ado Shaibu amefunguka kusikitishwa kwake na kitendo hicho cha kinyama dhidi ya Kazungu kada anayetambulika kwa msimamo wake thabiti wa kuikosoa Serikali na CCM mtandaoni na kulitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watesaji hao.
"Habari ya kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Kada wa CCM Kazungu Bakari anayefahamika mitandaoni kwa kauli zake za ukosoaji kwa Serikali na CCM inahuzunisha. Ninakemea kitendo hiki kwa nguvu zote na kutoa rai kwa Jeshi la Polisi kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya waliohusika. Kwa hakika, vitendo hivi vinaharibu taswira ya nchi yetu," amesema Ado Shaibu.
Kauli hii nzito kutoka kwa Mbunge Shaibu inadhihirisha kuwa ukatili wa utekaji na kuteswa kwa wakosoaji sasa umevuka mipaka ya vyama vya upinzani na kugonga hodi hadi ndani ya chama tawala, jambo linalotishia msingi wa amani na utawala wa sheria nchini.
Ado Shaibu amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi lina wajibu wa kisheria na kimaadili kuendesha uchunguzi wa haraka na wa wazi ili kuwatia nguvuni wote waliohusika na unyama huo, akionya kuwa kuendelea kufumbiwa macho kwa matukio ya aina hiyo kunazidi kuipaka matope taswira ya nchi kote duniani.
tunaelekea kugawana mbao. soonSijui tunaelekea wapi!
Huu ni wakati sahihi wa kuwaunganisha wananchi wote, bara na visiwani, kuanzia kaskazini hadi kusini, mashariki hadi magharibi, washirikiane kuwabaini wahalifu, wadhibitiwe ili jamii na taifa kwa ujumla lisonge mbele.Kama taifa tupo katika wakati mgumu sana, watawala wamekosa utu na roho ya kibinadamu, uroho wa madaraka umepofusha mioyo yao na dhamira zao na kuwafanya kuwaona wakosoaji wao kama wanyama na siyo binadamu, ukisikia madaraka yamewalevya ndo hivi sasa, ifike mahala utawala huu katili jumuiya za kimataifa ziuchukulie hatua
Inasikitisha
CCM ni wazandaki, makatili na wauaji, hamna kiongozi aliyekemea unyama ule