Kutekwa kwa Kazungu ni unyama unaoichafua nchi- Ado Shaibu

Tanzania haiwezi kuchafuka unless umechaguka wewe binafsi gentleman 🐒
Punguani wewe kama raisi anasema kuwa mikopo na fedha tulizokuwa tunapokea kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo zimesitishwa unaweza vipi kusema hatujachafuka? Kujitia moyo ni jambo moja lakini hakuondoi ukweli kuwa hatuko sawa kidiplomasia
 
we are currently more united, more powerful and more stronger than before.

Tunajitegemea kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa kiasi kikubwa sana bila kubabaika na msaada wowote ule kutoka taifa lolote lile ulimwenguni.

we can do best ourselves 🐒
 
Very true
 
Mnajitegemea kwa lipi chizi fresh ww ? Vikwazo kidogo tu vya kusafiri na kuzuiwa kwa pesa za mafisadi wenzako milio inasikika kila mahali FYI hatuwezi kuwa wamoja tena toka ile 29/10 mambo yashavurugana mpka pale wahusika watakapo wajibishwa
 
hizi ni porojo useless tu gentleman, wala Tanzania haina haja ya kubabaika nazo bali kusonga mbele kwa kujitegemea kiuchumi, kijamii na kisiasa 🐒
 
Punguani wewe kama raisi anasema kuwa mikopo na fedha tulizokuwa tunapokea kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo zimesitishwa unaweza vipi kusema hatujachafuka? Kujitia moyo ni jambo moja lakini hakuondoi ukweli kuwa hatuko sawa kidiplomasia
Unahangaika kumjibu mtu mwenye akili timamu lakini ameamua kujifanya kama juha.
 
hizi ni porojo useless tu gentleman, wala Tanzania haina haja ya kubabaika nazo bali kusonga mbele kwa kujitegemea kiuchumi, kijamii na kisiasa 🐒
Kama ni porojo kwanini kutwa Kombo yuko kwenye vibambaza (corridors) za hao wadau wa maendeleo kudai kurudishiwa hadhi yao ya zamani ambayo imepotea baada ya 29/10
 
huo ndio wajibu wa waziri yeyote yule duniani anaitwa waziri wa mambo ya nje.

yaani kuwe na waziri wa mambo ya nje anaekaa ndani ya nchi tu sio?
 
Ado Huwa unajitoa kufahamu, Yani police ndio wachunguze! Serious! Msaidizi wa Lissu alifungwa pingu na kutekwa hadi alipowaponyoka watekaji na kisha kufunguliwa pingu hizo akiwa kituoni Osterbay Leo unasema police wachunguze au unamaanisha ifantike nonsensical procedure, Ado unatakiwa kuwa serious otherwise kufikia 2030 huo ubunge utausikia kwenye TV tu.
 
Hayo ni mapumbavu.
 
Watu wa ACT Wazalendo hawajawahi kuwa serious
 
Inasikitisha Sana.
 
Huu ni wakati sahihi wa kuwaunganisha wananchi wote, bara na visiwani, kuanzia kaskazini hadi kusini, mashariki hadi magharibi, washirikiane kuwabaini wahalifu, wadhibitiwe ili jamii na taifa kwa ujumla lisonge mbele.
Kujadili kwa kulaumiana na kuomba msaada ni ujima unaokaribia unyama. Ulinzi na usalama ni jukumu la kila mmoja tukiongozwa na vyombo rasmi vya dola.
Hakuna mtu wa nje atawalinda watanzania majumbani na mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…