Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Umeitoa wapi hii ?Kashapatikana...tutulie
hahahaha sijasikia wakimtafuta dereva wakeLengo liwe kuwajulisha wanachama kilichotokea na kuwaomba walisaidie jeshi la polisi kupatikana kwa MO akiwa salama u salimini , ikumbukwe kwamba wanachama na wapenzi wa Simba ni wengi na wametapakaa nchi nzima , tusikae kimya as if lililotokea ni jambo la kawaida .
Naomba kuwasilisha .
Duh !hahahaha sijasikia wakimtafuta dereva wake
Ndugu......suala LA bodyguard sidhani kama lina mashiko. Kwa nnHawa matajiri wetu ubahili umewazidi..MTU kama Mo unashindwa kuwa na bodyguard's wa kazi kazi ....Jay Z analindwa mpaka na CIA unashindwaje kuwalipa makirikiri aaarrrggghhh
Kapatikania wapi? muwe mnajiridhisha kwanza na vyanzo vya taarifamungu mwema ameshapatikana