Kutekwa kwa MO , uongozi wa Simba uitishe Mkutano wa dharula

Kutekwa kwa MO , uongozi wa Simba uitishe Mkutano wa dharula

Lengo liwe kuwajulisha wanachama kilichotokea na kuwaomba walisaidie jeshi la polisi kupatikana kwa MO akiwa salama u salimini , ikumbukwe kwamba wanachama na wapenzi wa Simba ni wengi na wametapakaa nchi nzima , tusikae kimya as if lililotokea ni jambo la kawaida .

Naomba kuwasilisha .
hahahaha sijasikia wakimtafuta dereva wake
 
Hawa matajiri wetu ubahili umewazidi..MTU kama Mo unashindwa kuwa na bodyguard's wa kazi kazi ....Jay Z analindwa mpaka na CIA unashindwaje kuwalipa makirikiri aaarrrggghhh
 
Hawa matajiri wetu ubahili umewazidi..MTU kama Mo unashindwa kuwa na bodyguard's wa kazi kazi ....Jay Z analindwa mpaka na CIA unashindwaje kuwalipa makirikiri aaarrrggghhh
Ndugu......suala LA bodyguard sidhani kama lina mashiko. Kwa nn
1.Kuwa na bodyguard lazima use na sababu(motives) za kwa nn uwe na bodyguards.
2.waeza kuwa na bodyguards na bado proffesional kidnapers wakakupata tu. So kwa hili LA Mo nadhani tusubiri tujue sababu has a ya utekaji. Maana huyu jamaa amekuwa akijichanganya sana Mara nyingine kwenye bodaboda akiwa na haraka zake,kwenye ngoma huko singida enzi za ubunge wake,mpirani pale uwanja wa taifa n.k
Na tukumbushane tu marehemu Dr mvungi alikuwa na silaha ya kujilinda but aliuwawa na silaha ikachukuliwa.
 
Back
Top Bottom