Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Siku 4 zilizopita tarehe 23/ June/ 24, mnamo saa 8: 37 yeye mwenyewe Sativa254 au Edgar Mwakalebela alipost kwenye ukurasa wake wa Twitter (X) maneno haya hapa:
"Ukikoswa koswa na mshale wa jicho basi kichwa lazima kiwajibije"
Baada ya post hiyo ndiyo akapotea mpaka alipopatikana. Yawezekana aliotaka kuwapiga mshale wa jicho walimuwahi.
Naamini wale wanaodhani huyu katekwa na watu wa "system" wanabuni tu.
Akisha pata nafuu Polisi wamuulize ni nani alikuwa anawapelekea ujumbe huo.
PIA SOMA
- SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Osterybay kabla ya kusafirishwa sehemu zingine na nimepigwa risasi ya kichwa