Kutelekezewa mimba VS kubambikiwa mtoto

Kutelekezewa mimba VS kubambikiwa mtoto

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Mi naona hii ni mbwaimbwai....mwaga mboga nimwage ugali....anaumizwa mwanamke anaumizwa mwanaume....Yaan hapo kati Yao Kuna Kuna kakarma kametulia.Huna hatia unatelekezewa mimba ....huna hatia unabambikiwa mimba.
Aisee,Kaz iendelee
 
Tumelelewa tumekua pia.....hakuna kirahisi hapo tena kwenu ndo maumivu mshindo mkuu😜🤣
Mbona hata sisi tunasahau boss yaani nyau nyau apo inatolewa announcement oya mpeleke Kwa baba ake afu sitisha Kila huduma.

Sio umetelekezewa mtoto unaanza kwenda Kwa mwamposa mara kumimima mafuta ya upako baba
arudi😀🤔
 
Back
Top Bottom