Kuteleza si kuanguka , Simba kumtandika Mwarabu kwao

Kuteleza si kuanguka , Simba kumtandika Mwarabu kwao

Eti nimeota matokeo yatakuwa Al Ahly 2: 2 Simba.
 
Amna izo ni mbwembwe tu hawana majeruhi hata kdg wanajarb kucheza na psychology za wachezaji wa simba ili wa zubae wesi focus kwenye michezo
Ngoja tuone hiyo baadae kama ni kweli majeruhi au ni janja ya kuwahadaa wachezaji wa Simba na benchi lake la ufundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom