Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Arsenal alipofungwa bao 5 na Liverpool akaja kugeuza matokeo na kumtandika Chelsea bao 2 mtungi , hakuna haja ya watanzania kukata tamaa , leo ushindi ni wetu.
Nakala : Shafii Dauda
Nakala : Shafii Dauda