Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Al Ahyl wana wachezaji tisa tegemeo ni majeruhi, kwahiyo Simba washindwe wenyewe tu.Arsenal alipofungwa bao 5 na Liverpool akaja kugeuza matokeo na kumtandika Chelsea bao 2 mtungi , hakuna haja ya watanzania kukata tamaa , leo ushindi ni wetu.
Nakala : Shafii Dauda
kuwa mzalendo bhana !
Taarifa zote zishamfikia kocha wetu , mzee wa ndevu nyeupeAl Ahyl wana wachezaji tisa tegemeo ni majeruhi, kwahiyo Simba washindwe wenyewe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua upo ndotoni lakini kesho ukiamka matokeo halisi utayapata.Arsenal alipofungwa bao 5 na Liverpool akaja kugeuza matokeo na kumtandika Chelsea bao 2 mtungi , hakuna haja ya watanzania kukata tamaa , leo ushindi ni wetu.
Nakala : Shafii Dauda
Kabisa mkuuSimba nguvu moja
Amna izo ni mbwembwe tu hawana majeruhi hata kdg wanajarb kucheza na psychology za wachezaji wa simba ili wa zubae wesi focus kwenye michezoAl Ahyl wana wachezaji tisa tegemeo ni majeruhi, kwahiyo Simba washindwe wenyewe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuone hiyo baadae kama ni kweli majeruhi au ni janja ya kuwahadaa wachezaji wa Simba na benchi lake la ufundi.Amna izo ni mbwembwe tu hawana majeruhi hata kdg wanajarb kucheza na psychology za wachezaji wa simba ili wa zubae wesi focus kwenye michezo
mechi saa ngapi mkuu?Ngoja tuone hiyo baadae kama ni kweli majeruhi au ni janja ya kuwahadaa wachezaji wa Simba na benchi lake la ufundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tusubr tuoneNgoja tuone hiyo baadae kama ni kweli majeruhi au ni janja ya kuwahadaa wachezaji wa Simba na benchi lake la ufundi.
Sent using Jamii Forums mobile app