Kutembea na baba mkwe

Hizi stori nimezisikia Uchagani! Zamani sijui mpaka leo,Wachaga wakishaoa wanawaacha wake zao na kwenda kutafuta maisha mikoa mingine.
Kwa sababu wanawaacha muda mrefu, Baba zao wanatumia fursa hiyo kutembea na wakwe zao.
Sikuwahi kujua ni kwa sababu gani.
 
Halafu bado kuna majamaa yanatamani kuoa!
 
= ushauri
=kusafiri
=amerudi


Alikuwa anakuelezea ili na wewe umpe baba mkwe?
 
Kuna wanaume wanajisifiaga kutembea na mama wakwe zao humu ila leo wapo kulaani ya mkamwana na bamkwe wale,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…