Kutembea na baba mkwe

Kutembea na baba mkwe

Hizi stori nimezisikia Uchagani! Zamani sijui mpaka leo,Wachaga wakishaoa wanawaacha wake zao na kwenda kutafuta maisha mikoa mingine.
Kwa sababu wanawaacha muda mrefu, Baba zao wanatumia fursa hiyo kutembea na wakwe zao.
Sikuwahi kujua ni kwa sababu gani.
 
Wasalaam wana jamvi

Waswahili wanasema kua uyaone,
Kwenye Maisha yetu ya mahisiano kila mmoja anapitia changamoto yake. Jana katika maongezi na shoga angu wangu wa dasilama au daslam kama mnavoiita wenyewe akawa ananieleza changamoto yake na kuomba ushauli,

Bibi huyu ni mke wa bwana mmoja mashughuli sana naweza sema kama ni maisha ameyapatia bwana mwenye pesa, tall and all the good looking bila kusahau mumewe Yuko very proud na mkewe hajawai acha kumpost na mikapsheni na mikopa kopa juu.

Twende kwenye habari kamili,
Mume wa bibi huyu ni mtu wa kusafili safili na baba wa mwanaume huyu alienda kumtembelea kijana wake kwa muda yaani ajipumzishe kwa mtoto wake for a while

Lakini kijana wake kama kawaida ni mtu wa kusafili kwahiyo nyumbani yupo mkewe watoto, mdada wa kazi na baba mkwe aliekuja kusalimia.

Sasa picha linaanza dada anasema kwakua huko daslam ni joto yeye hulala bila nguo,
Anasema akiwa amelala alihisi mtu anampapasa na kumny***a uku chini, aliposhtuka akakuta ni baba mkwe,

Anasema baba mkwe akamwambia tulia tukuoneshe mambo mazuri yavofanywa,,,, ila nyie wanaume ombeeni wake zenu

Basi yeye anasema kwa kua alikua amelegea tayari, akakubali baba mkwe akafanya yake. Kuna vitu ni kama muvi but it's real

Basi mazungumzo yakaendelea , anasema yeye na baba mkwe wamekua wakiendelea na amekua akiinjoy sana.

ila Sasa mumewe ameludi, anasema haskii raha kwakua tayari amezoea na baba mkwe. Kwaiyo haelewi afanyaje sababu yeye anataka ba mkwe na sio mumewe

Kutoka moyoni nilikua namsikiliza huku natetemeka

Nikimuangalia maisha anayoishi mumewe amemjengea ana Gari za kumtembelea, watoto wanasoma shule nzuri afu anaujasili wa kusema eti amechanganyikiwa kuchagua kati ya baba na mwanae

Nyie wanawake wenye waume wanaowajali na kuwapenda msiwachezee kiasi icho wenzenu tuna date na watoto wa farao

Acheni izi mambo wanawake haipendezi jamani

Sina ata nilijomjibu nilimwambia tutaongea kesho kwanza nipumzike.
Halafu bado kuna majamaa yanatamani kuoa!
 
= ushauri
=kusafiri
=amerudi

Alikuwa anakuelezea ili na wewe umpe baba mkwe?
 
Kuna wanaume wanajisifiaga kutembea na mama wakwe zao humu ila leo wapo kulaani ya mkamwana na bamkwe wale,
 
Back
Top Bottom