Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Habari wakuu
Nahitaji msaada wenu hata kwa hili tatizo kuna mtoto wa dada yangu age 9 1/2...siku za karibuni aliwahi kusema huwa anajisikia baridi ya ghafla mwili mzima..na inakuja na kupotea katika mda mfupi.
Halafu kuna kitu kinamtembea mwilini kuanzia kichwani kushuka chini anakihisi na anaweza kueleza kwa kuonesha kipo wapi kwa mda ule mimi mwenyewe nimeona sehemu kinapotembea panakuwa panatuna kitu na kinakwenda kweli. bàada ya kuzunguka mwili wote huwa kinarudi na kutulia tumboni mda huo kikitembea kwenye mishipa ya damu huwa anaskia maumivu...
Mawasiliano wakuu nahitaji msaada kwa anayejua hili ni tatizo gani maana sijawahi hata kusikia!