Kutembewa na kitu mwilini

Kutembewa na kitu mwilini

hio ni mambo za kishwaini tu, binafsi mie kuna vitu ndugu yangu amefanyiwa hospitali wakadai ni depression. Amekula anti-depressants mwaka wa 5 huu haponi, usiku halalali anaongea non-stop.
Mi pia kuna kipindi nilikuwa na hio shida, nahisi vitu vinantembea mwilini hasa mabegani kushuka mikononi. Huwa nikiamka najikuta na chale sometimes nyuma ya shingo au mkononi. Sijajua ni mahali gani naweza pata msaada wa kweli wa kiroho ila nikikutana na mtu alieiva atagundua mambo mengi meusi niliofanyiwa na watu wasiopenda niendelee!
Hahahahaha jaman dunia ina mambo
 
Huwa sipati maumivu yoyote na huwa haitokei mara kwa Mara hiyo hali. So naona kawaida tu!
Lakini lazima kutakuwa na tatizo ....
Wanasema inahusiana na... mifumo wa hisia...
Jaribu kutafuta tiba hwenda baadae sana ikaja kusumbua!
 
Back
Top Bottom