Lindembwee
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 144
- 94
Dawa yake ni maombi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha jaman dunia ina mambohio ni mambo za kishwaini tu, binafsi mie kuna vitu ndugu yangu amefanyiwa hospitali wakadai ni depression. Amekula anti-depressants mwaka wa 5 huu haponi, usiku halalali anaongea non-stop.
Mi pia kuna kipindi nilikuwa na hio shida, nahisi vitu vinantembea mwilini hasa mabegani kushuka mikononi. Huwa nikiamka najikuta na chale sometimes nyuma ya shingo au mkononi. Sijajua ni mahali gani naweza pata msaada wa kweli wa kiroho ila nikikutana na mtu alieiva atagundua mambo mengi meusi niliofanyiwa na watu wasiopenda niendelee!
Duh kumbe wahanga tupo wengiTatizo kama hilo, nimedumu nalo huu ni mwaka wa 10 sasa!
Huwa sipati maumivu yoyote na huwa haitokei mara kwa Mara hiyo hali. So naona kawaida tu!pole mkuu ila utakuwa ni mvumilivu mno...
Ok, ahsante nitafanya hivyo.Lakini lazima kutakuwa na tatizo ....
Wanasema inahusiana na... mifumo wa hisia...
Jaribu kutafuta tiba hwenda baadae sana ikaja kusumbua!