Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
- Thread starter
- #21
Nashukuru mkuu ..mawazo uliyonipa naanza kuyafanyia utaratibu..Mm naiman mnachezewa na mtu hapo.. hilo tukio la ajabu sana.. na isitoshe msiwe na haja ya kumjua nani mbaya wenu muhimu mtoto apone.. hosp kama wakisema operations itafanyikaje kutoa hiko kitu ambacho kinatembea kwa spidi si mtamtoboa mtoto mwili wote..!!# ni mawazo yangu huyo anahitaji maombi au swala kwa wale waislamu sijui ni dua au nn atapona tu...