Kutembewa na kitu mwilini

Kutembewa na kitu mwilini

Mm naiman mnachezewa na mtu hapo.. hilo tukio la ajabu sana.. na isitoshe msiwe na haja ya kumjua nani mbaya wenu muhimu mtoto apone.. hosp kama wakisema operations itafanyikaje kutoa hiko kitu ambacho kinatembea kwa spidi si mtamtoboa mtoto mwili wote..!!# ni mawazo yangu huyo anahitaji maombi au swala kwa wale waislamu sijui ni dua au nn atapona tu...
Nashukuru mkuu ..mawazo uliyonipa naanza kuyafanyia utaratibu..
 
Pole sana kwa matatizo. Ila kwa nilivyoelewa maelezo yako ni dhahili kabisa huo si ugonjwa bali ni michezo tu iliyo nyuma ya uwezo na upeo wa uelewa wa kibinadamu. Basi ni vizuri ukakazana kusimama nae sana katika maombi yanaweza kukusaidia nahakika.
 
Asante mkuu...
Dunia hii ....
Ngoja tujipange ..maana kuna vitendo hapa anafanya...hasomeki!
 
Mkuu waafrika tunachangamoto nyingi wakati mnasubir utaratbu wakutibiwa uyo mtoto iliuharibifu usiendelee zaid tafuteni mafuta ya mzeituni awe anapaka mwili mzma baada ya kuoga asubuhi na jioni...

Uyo mdudu ataachakutembea mwilini ila atakuepo umo umo,

NB Mimi sio mganga ilanilishapitia changamoto kama izo.. Mungu mkubwa
 
Habari wakuu...
Nahitaji msaada wenu hata kwa hili tatizo...

Kuna mtoto wa dada yangu age 9 1/2...siku za karibuni aliwahi kusema huwa anajisikia baridi ya ghafla mwili mzima..na inakuja na kupotea katika mda mfupi...halafu kuna kitu kinamtembea mwilini kuanzia kichwani kushuka chini ...anakihisi na anaweza kueleza kwa kuonesha kipo wapi kwa mda ule...mimi mwenyewe nimeona sehemu kinapotembea panakuwa panatuna kitu na kinakwenda kweli.... bàda ya kuzunguka mwili wote huwa kinarudi na kutulia tumboni.
Mda huo kikitembea kwenye mishipa ya damu ...huwa anaskia maumivu...

Mawasiliano wakuu...nahitaji msaada..kwa anayejua hili ni tatizo gani maana sijawahi hata kusikia!

Mpelekeni hospitali haraka, kwani ameanza kujisikia hivyo lini?
 
Mpelekeni hospitali haraka, kwani ameanza kujisikia hivyo lini?
Ni wiki tatu sasa...alianza pole pole...lkn Jana ndio kaonyesha rangi zote!
Tupo njiani kwenda huko..
Halafu naongea sana kuliko kawaida. yake..yaani hasomeki...
 
Mkuu waafrika tunachangamoto nyingi wakati mnasubir utaratbu wakutibiwa uyo mtoto iliuharibifu usiendelee zaid tafuteni mafuta ya mzeituni awe anapaka mwili mzma baada ya kuoga asubuhi na jioni...

Uyo mdudu ataachakutembea mwilini ila atakuepo umo umo,

NB Mimi sio mganga ilanilishapitia changamoto kama izo.. Mungu mkubwa
asante mkuu...
lakini akiwepo mwilini si itakuwa ni risk hiyo?
hakui na kuzaliana humo..asije kuturikia na sisi tatizo menyewe!
 
Mmefanya vizuri, i am praying for him.

For him/her (anonymous gender).

BTW, hii kitu nakumbuka kuna jamaa tulikuwa tunasoma naye iliwahi kumtokea, tukawa tunamtania kwa kutaka kukikamata kitu cha namna hiyo.

Alikuja akaacha shule, alipona, akarudi darasa LA chini.
 
mmh!...
Kazi ipo...docta anasema haoni tatizo wakati kuna kitu kinatembea!
aaarg!
 
For him/her (anonymous gender).

BTW, hii kitu nakumbuka kuna jamaa tulikuwa tunasoma naye iliwahi kumtokea, tukawa tunamtania kwa kutaka kukikamata kitu cha namna hiyo.

Alikuja akaacha shule, alipona, akarudi darasa LA chini.
Hamkufanikiwa kujua ilikua ni shida gani?
 
Back
Top Bottom