mkuu...Hospital wamesemaje?
..... "sisi ni wajinga wakubwa kumpeleka hospitali!"..mkuu...
Jana kazi ilikuwa ni hiyo..vipimo.
Ila kiufupi wanasema tatizo ni hisia ...tu lakini.hamna kitu kama hicho..
Lakini tumekiona kinamtembea mwilini...
Inabidi sasa tufate ushauri wa wengi ....
Uleeeeh... ....
Maana usiku wa kuamkia leo..show ilikuwa pevu...anatuambia kabisa" eti "sisi ni wajinga wakubwa kumpeleka hospitali!
Mkuu sijui upo upande gani ..ila nnachoomba tusaidiane kuomba Mungu.
Hata shule haendi sasa.na kazini hatwendi!
Kama una mawasiliano au kama unaweza kumtafuta jamaa kwa kutumia jina lake kwenye mitandao mingine, ungeweza kumwuliza kwa faida ya mleta uzi ....For him/her (anonymous gender).
BTW, hii kitu nakumbuka kuna jamaa tulikuwa tunasoma naye iliwahi kumtokea, tukawa tunamtania kwa kutaka kukikamata kitu cha namna hiyo.
Alikuja akaacha shule, alipona, akarudi darasa LA chini.
Nilitaka kukuliza mengi ila niishie kuwashauri kama ni watu waimani, basi mnajua kwa magonjwa ya kawaida na hata yasiyo ya kawaida ipo nguvu inayoweza kuponya.mkuu...
Hospital wanasema hamna kitu ni hisia tu zimekorofisha!
Tumepewa dawa...baada ya wiki mbili tumpeleke tena!
Ila usiku wa Leo hatukulala..show kubwa
na utu uzima wetu ila katuacha hoi!
Tutaanza kuyapa uzito....... "sisi ni wajinga wakubwa kumpeleka hospitali!"..
Hii kauli inatosha kuona kuwa hii issue ni ya maombi, sidhani kama ni akili zake binafsi hadi akawaambia hivi.
dah!hio ni mambo za kishwaini tu, binafsi mie kuna vitu ndugu yangu amefanyiwa hospitali wakadai ni depression. Amekula anti-depressants mwaka wa 5 huu haponi, usiku halalali anaongea non-stop.
Mi pia kuna kipindi nilikuwa na hio shida, nahisi vitu vinantembea mwilini hasa mabegani kushuka mikononi. Huwa nikiamka najikuta na chale sometimes nyuma ya shingo au mkononi. Sijajua ni mahali gani naweza pata msaada wa kweli wa kiroho ila nikikutana na mtu alieiva atagundua mambo mengi meusi niliofanyiwa na watu wasiopenda niendelee!
uliza tu mkuu...pengine uliza yako ikatufungua macho...Nilitaka kukuliza mengi ila niishie kuwashauri kama ni watu waimani, basi mnajua kwa magonjwa ya kawaida na hata yasiyo ya kawaida ipo nguvu inayoweza kuponya.
Kama anasumbua sana hapo dawa ya haraka ni maombi tu, kumuombea yeye, nguo anazovaa, mafuta anayopata nakila kitu kinachogusa mwili wake.
In God's name everything gonna be ok
Pole sana mkuu.hio ni mambo za kishwaini tu, binafsi mie kuna vitu ndugu yangu amefanyiwa hospitali wakadai ni depression. Amekula anti-depressants mwaka wa 5 huu haponi, usiku halalali anaongea non-stop.
Mi pia kuna kipindi nilikuwa na hio shida, nahisi vitu vinantembea mwilini hasa mabegani kushuka mikononi. Huwa nikiamka najikuta na chale sometimes nyuma ya shingo au mkononi. Sijajua ni mahali gani naweza pata msaada wa kweli wa kiroho ila nikikutana na mtu alieiva atagundua mambo mengi meusi niliofanyiwa na watu wasiopenda niendelee!
nimepagawa, najitahidi ku focus ila najihisi mzito kabisa yani, sometimes nahisi nina matatizo natembea nayo!dah!
pole sana mkuu ..kumbe tuko wengi...
Yaani mpaka hata hujui uwaze nini...ufanye nini...
Dawa ni kwenda kwa kote kote..maana mpaka upate mtu madhubuti ..ushahangaika sana!
Na wala sifati eti kuombewa au kusomewa kwa misingi ya imani yangu!
hapana ..nakwenda kote yaani kwa imani zote!
Wote wataniombea kwa Mungu nipone mradi...basi!
Yule docta kaniudhi..vipimo havioni ..wakati kitu anaona kinatembea..anasema hisia!
si aseme tu kweli ...
Asantee kiongoziPole sana mkuu.
mkuu...nimepagawa, najitahidi ku focus ila najihisi mzito kabisa yani, sometimes nahisi nina matatizo natembea nayo!
Sasa nani wa kusaidia!mkuu...
huo uzito ndipo penye mzizi!
ikizidi kukaa ndio yanazidi kukufanya..yanakuzoea...
utakuwa mji wao ..
dawa ni kujitoa fahamu ...tu nenda kote kote.....ukishindwa kabisa ...sema utasaidiwa!