okay,ni sawa hongera kama kama umelenga vijijini,changamoto yake kubwa ni mzunguko mdogo kwa baadhi ya maeneo,kivipi?zaid nalenga maeneo ya vijijn/pembezon mwa mji peny uhaba wa hudum'
gari nimefanikiw kumilik succeed/ probox
kanabana mafuta kias'
hivyo tu mkuu.
npo geita
Mkuu,sawa Mkuu.
ila mbal na bidhaa nilizotaja'
bidhaa gan unahic zinaweza kufaa zaid'