Kutengeneza 350,000 ndani ya week 3

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
2,886
Reaction score
9,088
Habari wapenzi,

Nina mtihani nina 150,000 mkononi natakiwa nifanye kitu ili ifikapo tar 30 july niwe nimezalisha 350,000 la sivyo ..
Naombeni mawazo yenu.

Nini kinaingia ndani ya hiyo budget, hata kuuza matunda we nipe tu mchanganuo anagalau we leta idea yako itasaidia kuniokoa.

Yenye kuweza kuzalisha angalau 50,000-100,000 ndani ya week ama siku kumi.
 
Higher the risk higher the return,

Kubeti watu pesa ipo ila stress za mikeka kuchanika zisikie tu

Ila kama unahitaji sana hio pesa waweza kuuza simu yako kama ina unaweza kuiuza kitaa kwa laki 2
 
Ingia ferry kachukue samaki wabichi wasafishe kisho kwauze buguruni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…