Kutengeneza 350,000 ndani ya week 3

Kutengeneza 350,000 ndani ya week 3

Habari wapenzi,

Nina mtihani nina 150,000 mkononi natakiwa nifanye kitu ili ifikapo tar 30 july niwe nimezalisha 350,000 la sivyo ..
Naombeni mawazo yenu.

Nini kinaingia ndani ya hiyo budget, hata kuuza matunda we nipe tu mchanganuo anagalau we leta idea yako itasaidia kuniokoa.

Yenye kuweza kuzalisha angalau 50,000-100,000 ndani ya week ama siku kumi.
Tafuta sehemu uza mihogo
 
Hapo kama una ijua forex vizuri..kwenye 150,000 chukuwa 50,000 tu sawa na Dola 20$, hapo unatafuta Dola 140$ sawa na Tsh 350,000.

tafuta volatility pairs kama AUDJPY,GBPJPY,EURJPY,XAUUSD,US30.zifanyie analysis zote then sort yenye high probability.

Stop loss iwe 20pips kwa pesa Yako 20$ risk utakupa lot ya 0.1.
Sasa ili upate 140$ itabidi utafute setup itakayokupa walau pips150 , kwa hizo pairs hapo juu mala nyingi kwa siku zinatembea Hadi pips 200.

so ikitokea umepoteza 20$ utabaki na laki Moja Yako..so utatafuta njia zingine za kufanya upate 350k.

forex is probability ,
 
Back
Top Bottom