mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
usisahau kuleta mrejesho ukishafanyia kazi😂Much appreciated.. Nashukuru
nataka sana nione itakuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usisahau kuleta mrejesho ukishafanyia kazi😂Much appreciated.. Nashukuru
Najua.unatamani kuona sifanikiwi.usisahau kuleta mrejesho ukishafanyia kazi[emoji23]
nataka sana nione itakuaje
Pole! Sana Kwa maeneo haya labda uende maeneo ya sokoni uangalie fursa! Sema huo mda ni mfupi sana kugenerate hyo targetDar es salaam...ubungo
Unaogop kamari yenyewe unaogop kulose helaNaogopa kamari mzee
wala hata....Najua.unatamani kuona sifanikiwi.
Ndio shauku yako
Vijana wa NIT haoIna maana mkuu kakosekana kabisa wa kukuboost manamna gani then huko badae ukaja kumalizana nae?
Au ni vile unachoresha mchongo wa kuanza kufanya, utakao kuwa unakupa faida kwa mda mchache?
Kwa mda uliobaki mkuu kufanikisha inakuwa ngumu sana.Sina mkuu..nso mana nomefikia hapa
Tafuta sehemu uza mihogoHabari wapenzi,
Nina mtihani nina 150,000 mkononi natakiwa nifanye kitu ili ifikapo tar 30 july niwe nimezalisha 350,000 la sivyo ..
Naombeni mawazo yenu.
Nini kinaingia ndani ya hiyo budget, hata kuuza matunda we nipe tu mchanganuo anagalau we leta idea yako itasaidia kuniokoa.
Yenye kuweza kuzalisha angalau 50,000-100,000 ndani ya week ama siku kumi.
Kwenye forex?,njo nikutradie kaka utanishukuru sana badae..
Hapo tukitembea law key kabsa kwa wiki utapata 100$ ambayo no sawa na 230k kaka. KaribuKwenye forex?,
Hili wazo zuri, kwa wiki nikiweka 500K napata kiasi gani?