Kutengeneza 350,000 ndani ya week 3

Kwa mtaji wa 10-15 tengeneza vitumbua tafuta wale madogo wa kutembeza mjini karikoo au posta, kwasiku unaweza tengeza Vitumbua 200 mpaka 300 ambavyo hutakosa faida 10,000 mapaka 15000 kwa siku ukiwa na madogo 3 au 4 maana yake utaingiza 30,00 mpka 40,000 kwa siku. So 10,000 x Siku 24 zilizobaki utavuna kama 200 na kitu huko!
 
Chagua bidhaa ambayo inahit sana kwenye mauzo, fanya analysis .

Pili fungua account Instagram.

Tatu,tafuta na lipia promotion. Ziko za aina nyingi inategemea na mfuko wako. Wale wanakutafutia wateja kupitia tangazo utakaloliweka Instagram.

Nne fanya delivery, inaweza ikawa free delivery alafu hela ya nauli inaongezeka kwenye pesa ya bidhaa, hakikisha biashara inakuletea risk to reward 1:2.

Tano, rudia step namba nne.

Sita, sitakutajia bidhaa tusije gombania wateja, do your own research.

Saba, Nimemaliza.
 
JITU BANDIA njoo umpe odds huyu mdau akuze mtaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…