Kutengeneza 350,000 ndani ya week 3

Kutengeneza 350,000 ndani ya week 3

Kwa mtaji wa 10-15 tengeneza vitumbua tafuta wale madogo wa kutembeza mjini karikoo au posta, kwasiku unaweza tengeza Vitumbua 200 mpaka 300 ambavyo hutakosa faida 10,000 mapaka 15000 kwa siku ukiwa na madogo 3 au 4 maana yake utaingiza 30,00 mpka 40,000 kwa siku. So 10,000 x Siku 24 zilizobaki utavuna kama 200 na kitu huko!
 
Habari wapenzi,
Nina mtihani.nina 150,000 mkononi natakiwa nifanye kitu ili ifikapo tar 30 july niwe nimezalisha 350,000 la sivyo ..
Naombeni mawazo yenu.nini kinaingia ndani ya hiyo budget,hata kuuza matunda we nipe tu mchanganuo.anagalau.we leta idea yako itasaidia kuniokoa.
Yenye kuweza kuzalisha angalau 50,000-100,000 ndani ya week ama siku kumi.
Chagua bidhaa ambayo inahit sana kwenye mauzo, fanya analysis .

Pili fungua account Instagram.

Tatu,tafuta na lipia promotion. Ziko za aina nyingi inategemea na mfuko wako. Wale wanakutafutia wateja kupitia tangazo utakaloliweka Instagram.

Nne fanya delivery, inaweza ikawa free delivery alafu hela ya nauli inaongezeka kwenye pesa ya bidhaa, hakikisha biashara inakuletea risk to reward 1:2.

Tano, rudia step namba nne.

Sita, sitakutajia bidhaa tusije gombania wateja, do your own research.

Saba, Nimemaliza.
 
Habari wapenzi,
Nina mtihani.nina 150,000 mkononi natakiwa nifanye kitu ili ifikapo tar 30 july niwe nimezalisha 350,000 la sivyo ..
Naombeni mawazo yenu.nini kinaingia ndani ya hiyo budget,hata kuuza matunda we nipe tu mchanganuo.anagalau.we leta idea yako itasaidia kuniokoa.
Yenye kuweza kuzalisha angalau 50,000-100,000 ndani ya week ama siku kumi.
JITU BANDIA njoo umpe odds huyu mdau akuze mtaji
 
Back
Top Bottom