Kigger
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 850
- 772
Chukua mayai ya jumla ( kwa mkulima) nenda kwenye sehemu za chipsi uza kila Trey unaweka buku ukiuza 10 unatapa buku 5, speed yako mafanikio yako
Au chukua toyo jiunge bolt unaingiza pesa fasta,utauliza
Boda natoa wapi ? Sikia iyo laki 3 unusu kimbia kwa jamaa wanaitwa WATU wanakupa boda siku iyo iyo rejesho buku 8 kwa siku buku 8 iyo ni kichwa kimoja cha bolt
Fanya ivi nenda pale ubungo wanauza maziwa lita 1tsh 1000 chukua lita 10 ingia kitaa wauzie majirani unapoishi lita 1buku 2000 yakiisha una faida ya buku ten unarudi fasta unachukua tena lita 10,unawatafuta ndugu zako wauzie lita moja 2500 usiwaonee hurumaaa
Sent from my YAL using JamiiForums mobile app