Jescah Richard
Member
- Oct 7, 2022
- 64
- 98
Jaman habari, nilikuwa naomba ushauri kidogo kuhusu mada hiyo hapo juu. Nataka niwe nawatengeneza wadada kucha kope na kubana nywele, mimi ni mdada nina huo ujuzi na watu wengi hili eneo nikija huwa wanapenda ninavyokuwa kucha zimetengenezwa kope na vitu kama hivyo.
Nikafikiria kama fursa maana eneo hilo hamna sehemu maalumu ya hii kazi zaidi ya wanaotembea na ukija kwa kope ndo kabisaaa hakuna ushauri
Nikafikiria kama fursa maana eneo hilo hamna sehemu maalumu ya hii kazi zaidi ya wanaotembea na ukija kwa kope ndo kabisaaa hakuna ushauri