Kutengeneza kucha, kuweka kope na kubana nywele

Kutengeneza kucha, kuweka kope na kubana nywele

Joined
Oct 7, 2022
Posts
64
Reaction score
98
Jaman habari, nilikuwa naomba ushauri kidogo kuhusu mada hiyo hapo juu. Nataka niwe nawatengeneza wadada kucha kope na kubana nywele, mimi ni mdada nina huo ujuzi na watu wengi hili eneo nikija huwa wanapenda ninavyokuwa kucha zimetengenezwa kope na vitu kama hivyo.

Nikafikiria kama fursa maana eneo hilo hamna sehemu maalumu ya hii kazi zaidi ya wanaotembea na ukija kwa kope ndo kabisaaa hakuna ushauri
 
Ngoja waje kukupa muongozo na kila la kheri...
 
Kwa kazi yako maeneo kama Mwanza, Dar, kahama, katoro unaweza kupiga pesa hadi ushangae
 
Back
Top Bottom