Hizo mbao usipopiga dawa zinaliwa zone
Pili nyumba za mbao na tofali ukubwa ukiwa sawa, nyumba sa mbao ni expensive.
Hii ya kwako inaweza kuwa cheap katakana na hizo mbao sio za kujengea whole house mara nyingi wanatumia mbao ngumu ndio maana zinakuwa gharama sana