Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Aisee, nilikuwa napitwa na mambo mengi jukwaa hili
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Naaaaaam!
Karibu sana
Hahahahaha lol! Mtanzania ππ
Basi utakuwa umehusu huko japo kdg. Maana wao huwaambii kwa ndizi na utumbo. Wangazija huuita urumbo.
Mhhhh! Haya bana ngoja nianze kufanya utafiti kwenye family tree maana miye silijui hili.
Alafu pia utakua una asili ya kihindi mana kwa pilipili wewe sikuwezi
Hahahahahahaha lol! Baba na mama wote ni walaji pilipili wazuri sana hivyo nimerithi kwao. Sijui mimi na wewe nani kamzidi mwenzie kwa ulaji wa pilipili. Asili ya uhindini sina banaaa ila baadhi ya misosi yao naihusudu sana ππ
Ah Pilipili Asa kiboko yaani chakula bila ya Pilipili hakichangamki
Asante kwa somo. Kabla nilikuwa nafikiri embe pia inakaangwa na viungo.