Kutengeneza raw mango pickle nyumbani

Kutengeneza raw mango pickle nyumbani

Aisee, nilikuwa napitwa na mambo mengi jukwaa hili

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mhhhh! Haya bana ngoja nianze kufanya utafiti kwenye family tree maana miye silijui hili.

Alafu pia utakua una asili ya kihindi mana kwa pilipili wewe sikuwezi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahahaha lol! Baba na mama wote ni walaji pilipili wazuri sana hivyo nimerithi kwao. Sijui mimi na wewe nani kamzidi mwenzie kwa ulaji wa pilipili. Asili ya uhindini sina banaaa ila baadhi ya misosi yao naihusudu sana 🙂🙂

Ah Pilipili Asa kiboko yaani chakula bila ya Pilipili hakichangamki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeona eeh! Hata kiwe kitamu kiasi gani, ikikosekana pilipili unakiona si kitamu kivile. Salaam kwa TMA.

Ah Pilipili Asa kiboko yaani chakula bila ya Pilipili hakichangamki
 
nilijaribu kutengeneza ikaanza kuota ukungu ndani ya siku mbili.kuna namna ya kuifanya ikae muda mrefu kidogo?
 
Back
Top Bottom