Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Tv haiwaki atamuuzia nani? Labda auzie mafundi na watampa 30kIuze tu. Upate Pesa, ule.
Tv haiwaki atamuuzia nani? Labda auzie mafundi na watampa 30k
Kwamba hii unauza kw 60k badala ya 180kElfu 60
we ndo umekurupuka, mbona kaongea kwa wema tu.Cjui mnasomaga bila kukurupuka na nyege zenu
Mkuu matusi ya nini? Mimi nimemjibu huyo anayesema uuze.Cjui mnasomaga bila kukurupuka na nyege zenu
Aisee nimeshangaa, watu sijui wana stress za hela!we ndo umekurupuka, mbona kaongea kwa wema tu.
Jamani out of nowhere tu TV yangu aina ya Skyworth imezingua na kuzima na ukiwasha inaanza kisha kuzima tena; Fundi kaja ananiambia iyo internal system yote inabidi ibadilishwe 180k; yaani mafundi wa Bongo hamna ubunifu mpk mbadili kila kitu??? Na bei yote hii? Km kuna mtu umu anayejua hili tatizo who can help; nitashukuru. Iyo 180k kwa sasa kwa kweli sina.
View attachment 2965228View attachment 2965229
0763 476 356 fundi huyu kama upo Dar ...Bei yake haizidi 50 number yakeJamani out of nowhere tu TV yangu aina ya Skyworth imezingua na kuzima na ukiwasha inaanza kisha kuzima tena; Fundi kaja ananiambia iyo internal system yote inabidi ibadilishwe 180k; yaani mafundi wa Bongo hamna ubunifu mpk mbadili kila kitu??? Na bei yote hii? Km kuna mtu umu anayejua hili tatizo who can help; nitashukuru. Iyo 180k kwa sasa kwa kweli sina.
View attachment 2965228View attachment 2965229
Cjakurupuka; cpendi me nipo serious nauliza kitu then mtu anakuja anajibu tu ili mradi. TV kuungua nani kasema imeungua? C nimeelezea matatizo yote na shuda yangu then yeye anasema iuze tena 30k. 🤐 pia ni jibu.we ndo umekurupuka, mbona kaongea kwa wema tu.
NdioKwamba hii unauza kw 60k badala ya 180k