Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Jamani out of nowhere tu TV yangu aina ya Skyworth imezingua na kuzima na ukiwasha inaanza kisha kuzima tena; Fundi kaja ananiambia iyo internal system yote inabidi ibadilishwe 180k; yaani mafundi wa Bongo hamna ubunifu mpk mbadili kila kitu??? Na bei yote hii? Km kuna mtu umu anayejua hili tatizo who can help; nitashukuru. Iyo 180k kwa sasa kwa kweli sina.