Kutengeneza TV

Kutengeneza TV

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Jamani out of nowhere tu TV yangu aina ya Skyworth imezingua na kuzima na ukiwasha inaanza kisha kuzima tena; Fundi kaja ananiambia iyo internal system yote inabidi ibadilishwe 180k; yaani mafundi wa Bongo hamna ubunifu mpk mbadili kila kitu??? Na bei yote hii? Km kuna mtu umu anayejua hili tatizo who can help; nitashukuru. Iyo 180k kwa sasa kwa kweli sina.
IMG_0330.jpeg
IMG_0329.jpeg
 
View attachment 2965228View attachment 2965229

Internal system yote anatoa wapi
 
0763 476 356 fundi huyu kama upo Dar ...Bei yake haizidi 50 number yake

Mafundi wengine Ni matapeli..nikipata Tatizo nikakuuliza fundi ananiambia laki2 alivyokuja aliitengeneza Kwa 50 huyo rasi..Ila Hawa Wa mitandaoni alitaka laki2
 
we ndo umekurupuka, mbona kaongea kwa wema tu.
Cjakurupuka; cpendi me nipo serious nauliza kitu then mtu anakuja anajibu tu ili mradi. TV kuungua nani kasema imeungua? C nimeelezea matatizo yote na shuda yangu then yeye anasema iuze tena 30k. 🤐 pia ni jibu.
 
Yaani utoe 180K wakati mpya kariakoo zinauzwa 210K,achana nae kanunue nyingine
 
Back
Top Bottom