Nampongeza Rais wangu ni mtu mtulivu, anakupa muda usipojirekebisha anakuchapa, hongera mama. Nnape ana tabia ya kujisahau, alishaanza kibri kauli ya juzi ni ushahidi, ni mropokaji, anajidanganya CCM inamwogopa, inamtegemea.
CCM ni tofauti na vyama vingine, CCM haimtegemei mtu, iko juu ya kila mtu. Makamba ujuaji mwingi,nachukia sana akiongea, hana ule unyenyekevu wa kiuongozi. Anapenda sana makuu. Hata 2025 asiwarudishe nchi hii ina wenye sifa wenhi sana.
Uongozi wa juu unahitaji utulivu.
Pia soma > News Alert: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari