ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
You nailed it !!Kilicho fanyika ni siasa kuwadanganya Wadanganyika watulie... hao jamaa sasa wanapewa jukumu rasmi la maandalizi ya kuiba kura. Watalifanya kwa weledi halafu watarudishwa baada ya uchaguzi baada ya kuombewa msamaha na Mzee Makamba, Kikwete na Kinana.
Ndivyo itakavyokuwa !
Na wabongo wanajulikana kuwa huwa hawana kumbukumbu vichwani mwao maana memory card zao vichwani zimejaa kutokana na ubishani unaohusu Simba na Yanga. 😄🤣🤣