Kilicho fanyika ni siasa kuwadanganya Wadanganyika watulie... hao jamaa sasa wanapewa jukumu rasmi la maandalizi ya kuiba kura. Watalifanya kwa weledi halafu watarudishwa baada ya uchaguzi baada ya kuombewa msamaha na Mzee Makamba, Kikwete na Kinana.