Huyu ndo rais wa taifa hili. Yule mwingine si mnamuita dhaifu? Tulieni like son like father afanye vitu vyake, so far he is doing good..!
Asubiri baba ake aondoke hapo ikulu ili aje atueleze jinsi alivyoweza kuwa millionaire ndani ya miaka3 ..or else..!
Wakuu,
kuna mabandiko kadhaa yaliletwa hapa baada ya Kibanda kupigwa vibaya...
na 1 ni reaction ya riziwan kukashifu kwa kuisemea ikulu...
hiv kuwa mtoto wa rais kunafanya uwe na mamlaka ya kuitamkia ikulu?
ni kwel nch inaongozwa na familia ya j.k?
Lakini alikanusha kuwa yeye hakuandika ila kuna mtu aliingilia account yake ya facebook akaandika.
Hivi huyu mtu anaitwa majebere anawaza kabla ya kurespond kwa issue yoyote?
Mkuu nadhani unavyoandika hv hauko serious ni utani unafanya, kama kweli haya unayoandika yanatoka ndani ya moyo wako basi u mtu tofauti sana ktk Tanzania hii, kauli zako zinamaanisha kila anayepata nafasi ale awezavyo au aitumie hovyo ajuavyo, na watu wasihoji maana ni wivu...hongera kwa kutekeleza ilani ya CCM.....Wivu tu unawasumbua nyie, badala ya kumlamu baba kwa kutokwenda shule mnalaumu walio fanikiwa.
Tanzaniaaaeeeee.......mwanangu kuwa uyaone, kama ntai......mtunze mama'ko......
Itafahamika tu yataibuka mengi saana nasi twayasubiri
2020s inatisha zaidiTz ya leo inatisha!