Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaisemea Ikulu vipi?
Katumia barua yenye letterhead ya Ikulu?
Kasaini tamko la Ikulu?
si naye anasomewa report ya mkoa na anapokelewa na kamati ya ulinzi na usalama kama alivyo mazake?
hili ni swali au jibuwakuu,
kuna mabandiko kadhaa yaliletwa hapa baada ya kibanda kupigwa vibaya...
Na 1 ni reaction ya riziwan kukashifu kwa kuisemea ikulu...
Hiv kuwa mtoto wa rais kunafanya uwe na mamlaka ya kuitamkia ikulu?
Ni kwel nch inaongozwa na familia ya j.k?
2015 ni zamu ya kijana wa lowassa,nyie kajamba nani mtabaki kulialia tu humu JF.
Jahazi likienda mrama kila aliyeko ndani hujifanya nahodha. J.K maji ya shingo, Rweyemamu kakosa cha kuongea, Riz anajaribu nae kuokoa jahazi in mipasho way.
Wivu tu unawasumbua nyie, badala ya kumlamu baba kwa kutokwenda shule mnalaumu walio fanikiwa.
Akisema mtei ni maoni binafsi
Akisema riz1 ni maoni ya ikulu. Nyie vijana wa cdm mnaendekeza njaa.
hili ni swali au jibu
Kaisemea Ikulu vipi?
Katumia barua yenye letterhead ya Ikulu?
Kasaini tamko la Ikulu?
Hivi Ridhiwani akibwabwaja kama mshabiki wa CCM anayehitaji handlers kwenye Facebook page yake anakuwaje "kaisemea Ikulu;?
Unafahamu kuisemea Ikulu kukoje na kuna vigezo gani?
nani anaweza kusema kuhusu ikulu in that way? na awe less concerned?
Umewaonaee! hawa Cdm ni mafyongo tu yamewajaa kichwani! labda aongee Josephine Mushumbusi ndo watacoment vizuri!
Umewaonaee! hawa Cdm ni mafyongo tu yamewajaa kichwani! labda aongee Josephine Mushumbusi ndo watacoment vizuri!
kumbe huyu ni ibni salima ndio maana ana nyodo?! hivi hajaandaliwa msafara wa motorcade kama mama yake?First son kama mama yake first lady anavyozunguka nchi nzima akipiga siasa. Kweli Watanzania ni kama tumelogwa si bure.