Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

si naye anasomewa report ya mkoa na anapokelewa na kamati ya ulinzi na usalama kama alivyo mazake?
 
si naye anasomewa report ya mkoa na anapokelewa na kamati ya ulinzi na usalama kama alivyo mazake?

Lakini huku ni kukiuka katiba ya nchi...2015 let them find there way!! we are tired of ths rubish
 
Jahazi likienda mrama kila aliyeko ndani hujifanya nahodha. J.K maji ya shingo, Rweyemamu kakosa cha kuongea, Riz anajaribu nae kuokoa jahazi in mipasho way.
 
Riz1 ni future mkimbizi, anajichimbia kaburi na just like his father (watanganyika hatutadanganyika tena)
 
wakuu,
kuna mabandiko kadhaa yaliletwa hapa baada ya kibanda kupigwa vibaya...
Na 1 ni reaction ya riziwan kukashifu kwa kuisemea ikulu...
Hiv kuwa mtoto wa rais kunafanya uwe na mamlaka ya kuitamkia ikulu?
Ni kwel nch inaongozwa na familia ya j.k?
hili ni swali au jibu
 
Wivu tu unawasumbua nyie, badala ya kumlamu baba kwa kutokwenda shule mnalaumu walio fanikiwa.
 
Jahazi likienda mrama kila aliyeko ndani hujifanya nahodha. J.K maji ya shingo, Rweyemamu kakosa cha kuongea, Riz anajaribu nae kuokoa jahazi in mipasho way.

Thanks for your Vivid example.
 
Akisema mtei ni maoni binafsi
Akisema riz1 ni maoni ya ikulu. Nyie vijana wa cdm mnaendekeza njaa.

Umewaonaee! hawa Cdm ni mafyongo tu yamewajaa kichwani! labda aongee Josephine Mushumbusi ndo watacoment vizuri!
 
&t
Kaisemea Ikulu vipi?

Katumia barua yenye letterhead ya Ikulu?

Kasaini tamko la Ikulu?

Hivi Ridhiwani akibwabwaja kama mshabiki wa CCM anayehitaji handlers kwenye Facebook page yake anakuwaje "kaisemea Ikulu;?

Unafahamu kuisemea Ikulu kukoje na kuna vigezo gani?

Wewe pia ni msukule wa Riz1 kama kamanda majebere.
 
Last edited by a moderator:
nani anaweza kusema kuhusu ikulu in that way? na awe less concerned?

Kwa hiyo kasema kuhusu Ikulu? Hakuisemea Ikulu?

Kuna tofauti kubwa.

Nani anaweza kusema kuhusu Ikulu kwa jinsi hiyo? Na awe less concerned?

Kingunge Ngombale Mwiru, Yusuf Makamba et cetera, et cetera.
 
Umewaonaee! hawa Cdm ni mafyongo tu yamewajaa kichwani! labda aongee Josephine Mushumbusi ndo watacoment vizuri!

Mtei! aliwahi kuwa na nafasi katika baraza la mawazir...pia hawezi kuisemea ikulu kwa njia kama hyo.
 
Huyu ndo rais wa taifa hili. Yule mwingine si mnamuita dhaifu? Tulieni like son like father afanye vitu vyake, so far he is doing good..!
 
First son kama mama yake first lady anavyozunguka nchi nzima akipiga siasa. Kweli Watanzania ni kama tumelogwa si bure.
kumbe huyu ni ibni salima ndio maana ana nyodo?! hivi hajaandaliwa msafara wa motorcade kama mama yake?
 
&t

Wewe pia ni msukule wa Riz1 kama kamanda majebere.

Kati yangu mimi ninayequestion dhana nzima ya "Ridhiwani kaisemea Ikulu" kwa kituo, ukashindwa kunijibu.

Na wewe unayetoa tuhuma za jumlajumla kwamba mimi ni msukule, huku hujasema vigezo vya "kuisemea ikulu" ni vipi, na hujajua tofauti ya "kusema kuhusu Ikulu" na "kuisemea Ikulu" ni nini.

Nani msukule?

Ridhiwani anahitaji handlers, kwani hazimtoshi.

Mnavyomu address inaonekana kama mnahitaji handlers kumu address mtu anayehitaji handlers.

That's even worse!
 
Back
Top Bottom