Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

Wakuu,
kuna mabandiko kadhaa yaliletwa hapa baada ya Kibanda kupigwa vibaya...
na 1 ni reaction ya riziwan kukashifu kwa kuisemea ikulu...
hiv kuwa mtoto wa rais kunafanya uwe na mamlaka ya kuitamkia ikulu?
ni kwel nch inaongozwa na familia ya j.k?
Akisema mtei ni maoni binafsi
Akisema riz1 ni maoni ya ikulu. Nyie vijana wa cdm mnaendekeza njaa.
 
First son kama mama yake first lady anavyozunguka nchi nzima akipiga siasa. Kweli Watanzania ni kama tumelogwa si bure.
 
ana nafasi gani ndani ya ikulu ya tanzania? hatuna mfumo wa kifalme..angekuwa prince!!
wewe baba yako angekua rais ungeendelea kukaa vijiweni? Acheni lawama za kijinga bana. Mwache atumie nafasi alio pata, hata wewe ungekua hapo unge fanya hayo hayo. Chezea mtz wewe.
 
2015 ni zamu ya kijana wa lowassa,nyie kajamba nani mtabaki kulialia tu humu JF.
 
Kaisemea Ikulu vipi?

Katumia barua yenye letterhead ya Ikulu?

Kasaini tamko la Ikulu?

Hivi Ridhiwani akibwabwaja kama mshabiki wa CCM anayehitaji handlers kwenye Facebook page yake anakuwaje "kaisemea Ikulu"?

Unafahamu kuisemea Ikulu kukoje na kuna vigezo gani?
 
Back
Top Bottom