Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kutokana na uchochezi unaotolewa na Ridhiwani katika mitandao ya kijamii(k.m. Facebook), ni sahihi kwa vyombo vya dola kutochukuwa hatua za kumuhoji? Je ni sahihi kwa Ridhiwani kutumia nafasi ya baba yake katika kujadili masuala ya jamii na kutoa maelekezo? Je katiba yetu inasemaje kuhusu nafasi ya familia ya Rais katika masula ya nchi (Serikali)?
